Nabii wa uongo ndiye ambaye husababisha watu kuchukua alama hii kwenye paji ya nyuso zao.
Sehemu kuu katika Biblia ambayo inataja "alama ya mnyama" ni Ufunuo 13:15-18. Mistari mingine inaweza kupatikana katika Ufunuo 14: 9, 11, 15:2, 16:2, 19:20, na 20:4.
Alama hii hutumika kama muhuri kwa wafuasi wa Mpinga Kristo na nabii wa uongo (msemaji wa Mpinga Kristo). Nabii wa uongo ndiye ambaye husababisha watu kuchukua alama hii ya SIJIDA kwenye paji ya nyuso zao.
Alama ya mnyama itakuwa ni kitu kimepatiwa wale tu ambao huabudu Mpinga Kristo yaaani Allah. Alama ya mnyama itakuwa nyakati za mwisho kitambulisho cha Mpinga Kristo kinachohitajika ili kununua au kuuza (ISLAMIC BANKING), na kitapewa tu kwa wale ambao wanamwabudu Mpinga Kristo yaani Waislam.
Nabii wa uongo ndiye ambaye husababisha wafuasi wa Allah kuchukua alama hii. Alama hasa huwekwa paji la uso na sio kadi mtu atabeba.
Je, ni Nabii gani na dini gani wana alama hii ya SIJIDA?
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment