Thursday, February 16, 2017

JE, SIKU MOJA YA ALLAH NI SAWA NA MIAKA 1000 AU 50,000?

Image may contain: text
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Katika Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Surat Hajj 47. Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi.
Ushaidi zaidi upo katika Surat 32. SURAT ASSAJDAH aya ya 5.
LAKINI NILIPO ISOMA ZAIDI KURAN, NIKAKUTANA NA SHAKA NA UTATA MKUBWA SANA.
Surat Al Maaru 4. Malaika na Roho hupanda kwendea kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu!
MSIBA NDIO UMEANZIA HAPA.
Hivi huyu Allah hajui kuhesabu siku zake au ni SHAKA KUBWA KUBWA ZA QURAN ndio zinaleta UTATA HAPA?
NIKISEMA KUWA UISLAM NI DINI YA KUTENGENEZA, WAISLAM WANAPIGA KELELE OOOH UNATUKASHIFU, SASA MIMI NIFANYEJE WAKATI KILA KONA YA QURAN IMEJAA UTATA?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW