Katika Mji wa Wenzhou, Mashariki mwa China, Kitongoji cha Zhejiang, Nguruwe aliyetoroka kwenye shamba la ufugaji na kwenda moja kwa moja kwenye Msikiti na Kumsujudia Allah aligeuka na kuwa gumzo la jiji.
Habari hii iliwavutia watu wengi ambao hawajua kama huyu Nguruwe amesilimu na kuwa Muislam. Waislam wengi huwa wanadai kuwa eti KUSUJUDU NI UISLAM.
Je huyu Nguruwe ni Muislam kwasababu kasujudu?
Kwa habari kamili ingia kwenye link hapa chini.
http://english.cri.cn/12394/2015/02/26/2281s867570_2.htm
http://english.cri.cn/12394/2015/02/26/2281s867570_2.htm
No comments:
Post a Comment