Wednesday, December 14, 2016

MUHAMMAD ANASEMA SAYARI HUINUKA NA KUKIMBIA KAMA JUA NA MWEZI.

No automatic alt text available.
ETI NYOTA ZINANING'INIZWA KAMA TAA ZA KWENYE MSIKITI.
Je Muhammad na Waislam wa Mwanzo Wanatuambia Nini kuhusu Mbingu?
Nabii [Muhammad] alijibu: ‘Ali, kuna nyota tano: Jupiter (al-birjis), Saturn (zuhal), Zebaki (utarid), Mars (Bahram), na Venus (al-zuhrah). Nyota hizi tano huinuka na kukimbia kama jua na mwezi na hushindana nazo pamoja. Nyota nyingine zote zimening’inizwa toka mbinguni kama taa zilivyoning’inizwa toka kwenye misikiti…" al-Tabari juzuu ya 1 uk.235-236.
Ndugu zanguni, tukisema kuwa Allah na Muhammad hawana akili na au hawajui chochote, Waislam wanasema ninawatukania Allah wao na kipenzi chake Muhammad. Sasa mimi naomba ndugu wasomaji mtafute jina la kuwapa hawa akina Allah na Muhammad. Mimi nasema wote ni sawa na ngumbaru tu.
ETI, BAHARI HUTEMBEA ANGANI? HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
"Mungu aliiumba bahari fasrakh tatu (kilomita 18) kutoka mbinguni. Mawimbi yamedhibitiwa, yanasimama angani kwa amri ya Mungu. Hakuna tone hata moja linalomwagika. Bahari zote hazitembei, lakini bahari hutiririka kwa kiwango cha mwendokasi wa mshale. Imeachwa kutembea angani kwa ulinganifu, kana kwamba ni kamba ilinayotokeza kwenye eneo kati ya mashariki na magharibi. Jua, mwezi, na nyota zenye kurudi nyuma [sayari 5] huzunguka kwenye kina cha mawimbi ya bahari. Hivi ndivyo neno la Mungu (linavyomaanisha): ‘Kila moja huogelea kwenye mduara.’ ‘Mduara’ ni mzunguko wa kibandawazi kwenye kina cha mawimbi ya ile bahari." al-Tabari juzuu ya 1 uk.235.

Maoni kutoka kwa Waislam wa mwanzo: Jua huenda hasa kwenye sehemu ya kupumzika wakati wa usiku, na kwamba jua na mwezi "huelea" hasa kwenye bahari yenye maji angani.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW