Friday, September 9, 2016

KUMBE QURAN ILITEREMSHWA NA ADUI WA JIBRIL?



HUU NI MSIBA MKUBWA SANA

Surat Al Baqara 97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini. 

Marehemu Muhammad anaambiwa kuwa, aliipokea Quran kutoka kwa adui wa Jibril. 
WAISLAM, KWANINI MNAFUATA MANENO YA ADUI WA JIBRIL?

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW