Mtafiti aliyebobea James Chapman ameweka kumi bora ya vitabu vinavyo somwa sana duniani. Kwa taarifa yako, Biblia ndio kitabu kinacho ongoza kusomwa kuliko vitabu vyote hapa duniani. Quran HAIPO hata kwenye 20 bora. http://www.relevantmagazine.com/…/bible-tops-list-most-read…
Kwa upande mwingine, Biblia ndio kitabu kinacho somwa sana kuliko vyote duniani tokea dunia iumbwe. http://books.usatoday.com/…/the-bible-is-the-world…/690422/1
Huku Quran ikishika namba moja kwa kitabu chenye sifa na mafundisha mabaya kuliko vyote hapa duniani.http://www.danielpipes.org/comments/195861
Zaidi ya hapo, Biblia ndio kitabu kilicho chapishwa sana katika kipindi cha miaka 50 iliyo pita. Nakala zaidi ya BILIONI SITA zimesha chapishwa mpaka sasa.
Biblia inaongoza kwa kuwa na nakala zaidi ya Bilioni 4 zilizo chapishwa katika kipindi cha miaka 50.
Ikifuatiwa na kitabu cha "Works of Mao Tse-tung" chenye nakala Milioni 820. Kitabu cha Harry Potter nakala millioni 400, The lord of the Rings trilogy nakala milioni 103 na kitabu cha Paulo Coelho's the Alchemist chenye nakala millioni 65.
http://cdn1.relevantmediagroup.com/…/Screen%20Shot%202013-1
No comments:
Post a Comment