Sylvester Stallone amesema kuwa ameyasalimisha maisha yake kwa Bwana Yesu Kristo ambaye sasa ndie Bwana na Mwokozi wa Maisha yake.
Bwana Sylvester akizungumza na Pat Robertson kwenye TV ya 700 Club alikiri kuwa katika Yesu kuna raha sana na anamshukuru sana Mungu kwa kumwokoa.
Kwa habari kamili angalia hii video yake: https://www.youtube.com/watch?v=peZZY777AjU
No comments:
Post a Comment