Sunday, August 14, 2016

JE, UNAFAHAMU KUWA MUHAMMAD ALIKOPIA ADHANA KWA WAKRISTO?



Ndugu msomaji,
Nikisema Uislam ni dini ya kutengeneza, watu wanadai ooh, ninawatukana, ONA SASA, HATA ADHANA MUHAMMAD KAKOPIA KWA WAKRISTO.
NDIO MAANA NAENDELEA KUSEMA KUWA, UISLAM NI DINI YA KUJITUNGIA, HAIKUWEPO WAKATI WA ADAM WALA MUSA WALA IBRAHIM
UISLAM NI FAKE [BANDIA]...
Bukhari. Volume 1 Hadith 578," Hadith ya ibn Umar, (ra) alikuwa akisema, "Waislam walipofika madina walikuwa wakijikusanya kuisubiri Sala na kulikuwa hakuna wito wa kwenda kusali (ADHANA) ada ya adhana ilikuwa haijawekwa. Siku moja walizungumzia hilo, baadhi ya wakasema, "tengenezeni Kengele kama ya Wakristo, na baadhi wakasema liwe tarumbeta kama baragumu la Mayahudi, "UMAR r.a akawa wa kwanza kupendekeza Adhana, akasema kwanini hampeleki mtu kutoa wito wa adhana wa SALA?" Mtume Muhammad s.a.w akaamrisha ," Ewe Bilal! Simama utoe wito wa Adhana kwa ajili ya Sala"
Naam, huo ndio Uislam,dini ya kutengeneza na kukopia kopia kwa wengine. Uislam ulitengenezwa na Muhamamd na haukuuwepo kabla ya kuzaliwa kwake.
Waislam huu ni Ushahidi tosha kuwa ndani ya Quran yapo baadhi ya mawazo ya watu kama Umar Bin Khattab sio Wazo kutoka kwa Mungu , Hakuna cha Wahyi wala malaika maana vipi maneno ya kutungwa yapatikane ndani ya Quran ?
Natangulaza pole zangu kwa Waislam WANAO FUATA DINI YA KUETENGENEZA.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW