By Tom Phillips, Liushi, Zhejiang province
China nchi ya Kikomunisti yenye watu karibia bilioni 1.5 inakaribia kugeuka na kuwa nchi kubwa duniani ya Kikristo baada ya miaka 15.
Bwana Jin Hongxin mwenye umri wa miaka 40 anasema kuwa ni jambo jema kuwa mfuasi wa Yesu Kristo katika nchi ya China huku akiutazama Msalaba wa Dhahabu katika madhabahu ya Liushi.
Hizi ni habari njema sana maana Yesu alisema kuwa Neno lake lihubiriwe duniani kote.
Ukristo unakuwa kwa kasi ya ajabu na kusababisha tetemeko la kidini katika nchi nyingi za Kiislam. Watafiti wengi wanasema kuwa, Uislam unaweza kufutika duniani kwa jinsi Yesu aliye jaa upendo anavyo waokoa watu kutoka giza nene la Shetani.
Kwa habari kamili ingia kwenye hii link hapa chini:
No comments:
Post a Comment