Wednesday, August 10, 2016

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KUSEMA QURAN IMECHAKACHULIWA NA IMEJAA SHAKA. KUMBE NDIO MAANA QURAN INAWAKAFIRISHA WAISLAM


NDIO MAANA NASEMA KUWA HII QURAN INAWAKAFIRISHA WAISLAM SIO KITABU CHA MWENYEZI MUNGU
Ndugu msomaji,
Bila ya kupoteza muda taunaanza na aya kutoka Quran inayosema kuwa, Allah alikuwa anafuta aya zake mwenyewee. Huu ni MSIBA mkubwa sana.
Hii tabia ya kufuta futa aya na kubadilisha balisha aya ndio inaitwa UKAFIRI. Neno kafiri linamaanisha kubadilisha ukweli, au ficha ukweli au sema uongo, au msingizia Mwenyezi Mungu uongo, au kupinga maelekezo ya Mwenyezi Mungu yalio kuja kabla ya Quran na kabla ya kuzaliwa Muhammad.
SASA TUISOME HII TABIA YA KIKAFIRI KWA ALLAH WA WAISLAM.
Quran 2:106
Aya yoyote TUNAYOIFUTA AU KUISAHAULIZA tunaleta iliyo bora kuliko hiyo au iliyo mfano wake. Hujui kuwa Mwenyezi Mungu anao uwezo juu ya kila kitu?
Kwanini Allah alikuwa anafuta aya zake? Je, tutawezaje iamini Quran iliyi futwa futwa? Ndio maana nasema hii Quran iliyo chakachuliwa ndio inayo wakafirisha Waislam.
Mwandishi maarufu wa Kiislamu-Caliph Uthman aliandika Quran na kuchoma aya ambazo hakupendezwa nazo! (Sahih Bukhari 6:61:510)
Hakuchoma tu aya za Quran bali Sura nzima ya kuran ilipotea na kusahaulika. (Sahih Muslim 5:2286)
Vile vile, aya zingine zilifutwa kwa maksudi. (Bukhari 6:61:527).
Mohammad aliwaagiza waislamu kujifunza uislamu kutoka kwa Quran ya Ubai na wala sio ambayo Zayd Ibn Thabit aliandika (ambayo ni ya kisasa) tazama (Bukhari 6:61:521).

Ibn Sad (Kitab al-Tabaqat al-Kabir vol.2 p.444 ) inasema kuwa maandiko ya Quran ya Zayd Ibn Thabit ni tofauti na ya Muhammad. Kwa hivyo waumini wamepotoshwa kwa kukariri Quran hiyo ya kisasa na hii Quran ndio inayo WAKAFIRISHA WAISLAM.
Jami At-Tirmidhi 3104 vile vile anasema Quran iliyopo sasa ni feki-ya Zayd Ibn Thabit.
Katika kufanya marekebisho mengi kwenye kuran watu walikuja na nakala tofautitofauti za Quran (Jami at-Tirmidhi 3104) hivyo kulikuwa na mtafaruku miongoni mwa wafuasi wa mohammad kwa sababu zilikuwa tofauti.
Kuran ya Ibn Masood ilikuwa na sura 111, ya Ubay ilikuwa na sura 116 na Quran ya Zayd (ambayo ndio inatumika sasa hivi) ina sura 114. Tazama (Ibn Daud , Kitab al-Masahif).
Hata zile zilizotajwa kuwa feki hazikuhifadhiwa kwa sababu mbuzi alikula sehemu ya aya zake (Sunan Ibn Majah 1934/1944).
Hivyo hamna aliyeandika Quran hadi baadhi ya waliokuwa wanakariri mafunzo ya Mohammad kufa na kulikuwa na hofu kuwa aya zilizosalia zingepotea kabisa (Bukhari z6:61:509).
Hivi ndivyo Zayd Ibn Thabit alipata kuandika Quran ambayo tunayo leo hii kutoka kwa shuhuda za wakariri waliobaki (kurasa chache tu kutokana na miaka 23 ya ufunuo).
MASWALI NYETI YAIBUKA HAPA;
1. Kwanini Allah alikuwa anafuta aya za Quran?
2. Kwanini Caliph Uthman alichoma aya za Quran?
3. Kwanini waislamu wanaficha ukweli kuhusu dini yao?
TAFAKARI HAYO NA UCHUKUWE HATUA!
IKATAE QURAN AMBAYO INAKUFANYA UWE KAFIRI.
Max Shimba Ministries Org
www.maxshimbaministries.org

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW