HUU NI MSIBA MKUBWA SANA
Je, kuna uhashihidi wowote ule wa aya kusaidia madai ya kuto kujua kusoma kwa Muhammad katika Quran?
Wanadhuoni wa Kiislam, hupenda kusema kuwa, Nabii wa Allah wao, aitwaye Muhammad alikuwa ameelimika, lakini unapo wauliza maswali na kuomba ushahidi wa madai yao, huwa wanaanza kukutishia na kusema kuwa, Muhammad ndie nabii wa mwisho, na kukwepa swali, la msingi. Je, Muhammad alikuwa anajua kusoma na kuandika?
Hebu tuanze moja kwa moja na aya ambazo ziliteremshwa na Allah kwa kupitia msaidizi wake Malaika Jibril kama Quran inavyo dai.
Ushahidi wa Kwanza:
Koran Surat Al A'raaf [7:157]
Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii Muhammad, asiye soma wala kuandika,
Koran Surat Al A'raaf [7:157]
Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii Muhammad, asiye soma wala kuandika,
Ndugu wasomaji, aya tuliyo isoma katika Surat Al A'raaf 157 inatuambia kuwa Nabii pekee wa Allah, Muhammad, alikuwa ngumbaru; hakufahamu kusoma wala kuandika.
Najua waislam, wataanza kubisha na kutupa maneno ya hapa na pale. Ili kuwanyamazisha tusoma ushihidi mwingine kutoka Quran yao.
Najua waislam, wataanza kubisha na kutupa maneno ya hapa na pale. Ili kuwanyamazisha tusoma ushihidi mwingine kutoka Quran yao.
Ushahidi wa Pili:
Surah Al A'nkabut [29: 48]. Na wewe hukuwa kabla yake unasoma kitabu chochote, wala hukukiandika kwa mkono wako wa kulia. Ingeli kuwa hivyo wangeli fanya shaka wavunjifu.
Surah Al A'nkabut [29: 48]. Na wewe hukuwa kabla yake unasoma kitabu chochote, wala hukukiandika kwa mkono wako wa kulia. Ingeli kuwa hivyo wangeli fanya shaka wavunjifu.
Allah kaamua kuteremsha aya nyingine ili kutuhakikishia umaah wake kuwa, Nabii wake, Marehemu Muhammad, alikuwa hajui kusoma wala kuandika jina lake.
Je, kuna Mitume wowote wale katika Biblia ambao walikuwa hawajui kusoma wala kuandika?
Kufuatana na ushaihidi wa Biblia, Mitume wote na Manabii wote wa Biblia walikuwa wanafahamu kusoma na kuandika. Na wengine kama Luka, wao walikuwa Madaktari.
Hakika Muhammad alikuwa Mtume Bandia ndio maana hakuwai ongea na Mungu, kinyume na Manabii wote ambao waliongea na Mungua aliye watuma.
Zaidi ya hapo, Mungu muumba wa mbingu na nchi ambaye ndie mwanzilishi wa elimu, hakuwa na sababu ya kumtuma Mtume ambaye alikuwa Ngumbaru.
Kumbe basi, ndio maana Quran yao imejaa shaka na inatumia usaidizi wa Hadith.
Waislam, karibuni kwa Yesu aliye hai, ili muweze kupata uzima wa milele.
Max Shimba Ministries Org.
No comments:
Post a Comment