Sunday, May 22, 2016

UTHIBITISHO: ALLAH NA MUHAMMAD WAMEMKOPIA MTUME PAULO




1. Quran imegezea Biblia kwa asilimia kubwa.
2. Allah hakuteremsha Wahyi kwa Muhammad.
3. Mtume Paulo ni akbar
Huu ni msiba Mkubwa sana.
Ila Biblia ni kitabu cha vitabu ambacho hakija copy wala hakitoi rejea ya vitabu, bali inajisimamia yenyewe.
Quran
Imebeba taarifa zilizo katika Biblia. Mfano
Habari za Yusufu ambaye Biblia inamwongelea miaka 3500 iliyopita. Ktk quran ipo sura yake nzima(sulatul Yusufu)
Habari za familia ya Imran baba yao Musa, Haruni na Miriam, ambayo biblia inawaongelea miaka 3000 iliyopita. Ktk quran ipo sura yake nzima(sulatul imran)
Habari za Yona mwana wa Mittai(Yunus bin Matta), ktk quran ipo sura yake nzima.
Ibrahimu baba wa imani, ambaye biblia inamwongelea miaka zaidi ya 3500 iliyopita. Ktk quran ipo sura inayoitwa sulatul Ibrahimu.
Bikira Maria, mama yake Yesu, ktk quran ipo sura yake inayoitwa sulatul Maryam
Habari za Elisha, Eliya, Daudi, Seleman, Haruni, Musa, Isaac, Yakobo, Ishamael, Enock, Lutu, Nimrod, Yethro, Zakaria, Yohana mbatizaji na Bwana Yesu Kristo.
Wote hao visa vyao vinapatikana katika Quran ingawa havina habari za kina juu yao km ilivyo ktk Biblia.
Waislam wanasema na kudai kuwa habari hizo muhamad alipewa wahyi(ufunuo) ila quran inabainisha kuwa alisimuliwa, maana huwezi pewa ufunuo kwa hbr zilizo bayana.
Quran inasema hivi....
Quran 4:164 Tuliwapelekea wahyi mitume tuliokuhadithia hbr zao zamani na mitume ambao hatukukuhadithia hbr zao na mwenyezi Mungu alimsemeza Musa.
Quran 40:78 Na kwa yakini tumewatuma mitume kabla yako wengine ktk wao tumekusimulia(majina yao na hbr zao) na wengine hatukukusimulia na haikuwa kwa mtume yeyote kuleta muujiza wowote ila kwa idhini ya mwenyezi Mungu.

👆👆👆 waliopewa wahyi ni mitume kabla ya muhamad, na hbr zao muhamad alisimuliwa na si wahy. Na kuna wengine Muhamad hakusimuliwa hbr zao, na ili uzipate sharti ufanye rejea ya biblia. Manabii km Daniel, Ezekiel, Yeremia, Mika, Samweli, Hosea, Ahiya, Malach, Debora, na wengine wengiii waislam hawawajui....sababu mtume wao hakusimuliwa habari zao.
Rejea katika Quran
(154) Al-An'aam
Tena tulimpa Musa Kitabu kwa kumtimizia (neema) aliye fanya wema, na kuwa ni maelezo ya kila kitu, na uwongofu na rehema, ili wapate kuamini mkutano wao na Mola wao Mlezi. 155 Na hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa. Basi kifuateni, na mchenimngu, ili mrehemewe.
👆👆👆 Waislam wameambiwa warejee katika torati ili wapate rehema maana torati imebarikiwa.
(136) An-Nisaa
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.
👆👆👆👆👆👆👆👆
Kwaiyo waislam wanaopinga vitabu vya awali tayari wameshapotelea mbali.
(46) Al-Maaida
Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu.
👆👆👆injili ni nuru na uwongofu na mawaidha kwa wamchao Mungu, kwaiyo ukiikataa wewe huna nuru, wongofu wala haumchi Mungu.
👇👇👇👇👇onyo#
(156) Al-An'aam
Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma.
Sharti waislam wasome Biblia, bila hivo watakuwa katika khasara.
Zipo aya nyingi zenye rejea za Biblia, ila leo tutaishia hapa.
Hoja kwa waislam
Baadhi mnadai biblia ni kitabu cha Paulo, kama ni kitabu cha Paulo mnatuaminisha na kutangaza ya kwamba Allah na Muhammad walimkopi Paulo.
Pili, kuna baadhi mnadai Biblia imetiwa mikono, kama imetiwa mikono kwann habari zake zimo katika Quran? Na Allah amesistiza sana mrejee uko[Q10:94] na mviamini vitabu, bila hivo mtachomwa moto, je Allah anawarejeza katika vitabu vilivyo chakachuliwa? Maana ndani ya biblia ndimo kuna vitabu vyote vya manabii.
Amani na neema ziwe nanyi.
Kumbe Allah na Muhammad wamemkopia Mtume Paulo.
Kumbe Mtume Paulo ni akbar mbele ya Allah na Muhammad.
Karibuni kwa Yesu Mungu Mkuu.
Max Shimba Ministries Org.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW