Monday, April 11, 2016

MAHAKAMA YA KADHI HAIPO KWENYE QURAN

Ndugu wasomaji.
Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.
Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi.
Narudia tena hakuna aya.
SASA NDUGU WAISLAM:
1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?
- Nani anawachagua wamchifu wa kadhi na ipo wapi aya inayo sema hivyo?
2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?
- Zitaje sifa zinamfanya mtu apewe hiyo kazi ya uchifu nk Leteni aya kutoka Quran.
3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?
- Kwasababu wanao ongoza hizo Mahakama sio Mawakali walio somea na hakuna aya kutoka Quran inayo wapa uongozi huo, je, hoa viongozi watatumia nini kuweka haki katika hizo mahakama?
4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?
- Kuna madhebu makubwa mawili ya Waislam, Suni na Shia. Wengi wao wa Tanzania ni Suni, ingawa kuna Shia wengi vile vile, Je, watakapo chagua hao viongozi wa kadhi, watachaguaje maana Suni na Shia hawakai kiti kimoja? Je, watakuwa na mahakama mbili tofauti?
5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.
- Je, ni kivipi Mwanamke wa kiislam analindwa maana Allah alisha sema kuwa Mwanamke yeye ni nisu ya Mwanaume(Surah 2:282) katika maswala ya mirathi? Zaidi ya hapo Quran inampa haki Mume tu kutoa talaka na mke anaachwa bila ya haki yeyote ile Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7? Je, ikiwa mke anataka kutoka talaka, atatumia aya zipi za Quran?
Sheria za taifa la Tanzania zinapingana na hii Kadhi, je, Waislam watafuata sheria za nchi au watafuata sheria za kadhi na kuvunja sheria za nchi?
Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.
Mahakama ya Kadhi inapinga sheria za nchi.
Waislam, kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?
Hakika ni dhambi kubwa kumzulia uongo Allah na kumsaidia Allah ambae kasema hana msaidizi na ni muweza wa yote.
Karibu katika Ukristo ambao utawaweka huru kutoka vifungo vya sheria.
“Kwa maana Mungu alimfanya Yeye asiyekuwa na dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi TUPATE KUFANYWA HAKI YA MUNGU katika Yeye.” (Wakor.5:21). Mstari wa maana sana na mwenye uzito! Na tena imeandikwa, “Kwa maana kama vile kwa kutokutii yule mtu mmoja wengi walifanywa wenye dhambi, vivyo hivyo kwa kutii kwa mtu mmoja wengi WATAFANYWA WENYE HAKI.” (Warumi 5:19). Huu ni ukweli wa Mungu – kutokana na dhambi ya Adamu tulifanywa wenye dhambi. Kwa kuzaliwa kwetu kwa kwanza tulipata tabia ya mwenye dhambi, na sawasawa na tabia hiyo tunafanya dhambi. Sasa, VIVYO HIVYO kupitia utii na mateso ya Yesu Kristo msalabani TUMEFANYA WENYE HAKI! Kwa kuzaliwa kwa pili tunapata Roho ya Mungu na maisha ya Yesu ndani yetu na sawasawa na Uzima huo tumewekwa huru mbali na dhambi ili “tusitumikie dhambi tena.”
Yesu amevunja ile nguvu za dhambi katika maisha yetu. “Kwa sababu sheria ya ROHO WA UZIMA ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.” (Warumi 8:2). Sheria ya nje haina uwezo kuibadilisha hali ya kiroho yako au tabia yako. Kwa mfano, na tuweke sheria kwa ajili ya nyoka, na sheria hiyo inasema “uwe mwanakondoo!” Sasa, nyoka anaweza kujitahidi sana awe mwanakondoo; anaweza kujaribu kufanya hivi na hivi; anaweza kusali na kwenda kanisani, lakini anabaki nyoka! Hakuna mabadiliko! Kwa hiyo Yesu alisema, “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye AWE NA UZIMA WA MILELE KATIKA YEYE.”
Karibuni kwa Yesu na atakuweka huru kutoka Mahakama ya Kadhi na Sharia za Uislam.
Max Shimba Ministries Org
© Max Shimba Ministries 2013

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW