ALLAH ATEREMSHA AYA NA KUKIRI KUWA YEYE NA UISLAM HAWAJATAKASIKA
Bila ya kupoteza muda tuanze kwa kusoma SURAT AL-AH'ZAB
(Imeteremka Madina). Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani , alie fanya tarjuma hii ni Mzalendo wa Zanzibar, aliezaliwa 13 January 1919, akapata mafunzo ya dini kwa baba yake Sheikh Muhsin bin Ali na kwa wanazuoni wengineo wa Afrika ya Mashariki. Pia Sheikh Ali amesoma ilimu ya zaraa katika Chuo Kikuu cha Makerere (Makerere University) huko Uganda.

MAANA YA KUJITAKASA
a. Ni kujiweka wakfu kwa ajili ya Mungu
b. Ni kuamua kwa dhati kabisa kuchukua hatua ya kuacha kutenda dhambi, kuishi katika dhambi na pia kuchukua hatua ya kuondoa kila aina ya dhambi uliyo nayo.
a. Ni kujiweka wakfu kwa ajili ya Mungu
b. Ni kuamua kwa dhati kabisa kuchukua hatua ya kuacha kutenda dhambi, kuishi katika dhambi na pia kuchukua hatua ya kuondoa kila aina ya dhambi uliyo nayo.
ALLAH ANAOMBA MUMTAKASE ASUBUHI NA JIONI. JE, ALLAH ALICHAFUKA LINI MPAKA AOMBE KUTAKAWASA?
((Enyi mlioamini! Mdhukuruni Allaah kwa wingi wa kumdhukuru)) ((Na mtakaseni asubuhi na jioni)) ((Yeye na Malaika Wake ndio Wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini)) ((Maamkiano yao siku ya kukutana Naye yatakuwa: Salama! Na Amewaandalia malipo ya ukarimu)) [Al-Ahzaab: 42-44]

Al-Ahzaab 33: 41-42,
41. Enyi mlio amini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru.
41. Enyi mlio amini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru.
42. Na mtakaseni asubuhi na jioni. http://www.quranitukufu.net/033.html
Jamani eeeh, Allah wa dini ya Uislam anaomba kutakwaswa, sasa huyu Allah alichafuka lini?
Ndugu Waislam, mnaweza tuambia ni uchafu gani mnao taka kuutakasa?
SWALI: ALLAH ALICHAFUKA LINI?
ALLAH ANAMUOMBA MUHAMMAD AMSAFISHIE DINI. KUMBE DINI YA ALLAH INATAKIWA KUSAFISHWA
Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12 Pickthall http://www.quranitukufu.net/039.html

Huu ni msiba mwingine kwa Allah, sasa kwenye Surah ya 39 aya 11-12 Allah anamwomba Muhamamd amsafishie dini ya Uislam, sasa tuwaulize Waislam. KWANI UISLAM ULICHAFUKA LINI MPAKA ALLAH AMUOMBE MUHAMMAD KUMSAFISHIA DINI?
Waislam, tuleteeni aya ambayo inathibitisha kuwa Muhammad aliisafisha dini ya Allah?
Waislam, kwanini Allah alimuomba Muhammad kuisafisha dini?
Kwanini Allah alishindwa kuisafisha dini yake?
Kwanini ALLAH ALIOMBA KUTAKASWA?
SASA TUSOME BIBLIA TAKATIFU:
Hesabu 8"17-18 '' Kwa kuwa wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli ni wangu, wa wanadamu na wa wanyama; siku hiyo niliyowapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri niliwatakasa kwa ajili yangu mwenyewe. Nami nimewatwaa Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza wote walio katika wana wa Israeli.''

KATIKA BIBLIA, HESABU 8 17-18 tunasoma kuwa Mungu ndie anaye watakasa watu kinyume na Allah wa Quran anaye omba kutakaswa na watu wenye dhambi. Ndugu msomaji, huu ni MSIBA MKUBWA SANA KWA DINI YA MUHAMMAD YENYE ALLAH ANAYE OMBA ATAKASWE NA WATENDA DHAMBI.
Je, WAISLAM, mnaweza tuambia njia ambayo mnatumia kumtakasa Allah?
2 Nyakati 29:15-17 ''Wakawakusanya ndugu zao, wakajitakasa, wakaingia, kama alivyoamuru mfalme kwa maneno ya BWANA, ili waisafishe nyumba ya BWANA. Nao makuhani wakaingia nyumbani mwa BWANA, katika mahali pa ndani, ili waisafishe, wakatoa uchafu wote waliouona hekaluni mwa BWANA, wakautupa nje uani mwa nyumba ya BWANA. Walawi wakautwaa, ili wauchukue nje mpaka kijito cha Kidroni. Basi wakaanza kutakasa siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, hata siku ya nane ya mwezi wakafika katika ukumbi wa BWANA; wakaitakasa nyumba ya BWANA katika muda wa siku nane; wakamaliza siku ya kumi na sita ya mwezi wa kwanza.''
Umesoma kwenye Mambo ya Nyakati kuwa anaye takiwa kufanya utakaso ni binadamu na sio MUNGU, Lakini kwenye Quran ya Waislam, tumesoma kuwa Allah anaomba kutakaswa Al-Ahzaab 33: 42. Na mtakaseni asubuhi na jioni.
JE, ALLAH ALICHAFUKA LINI? TENA ANATAKA KUTAKASWA ASUBUHI NA JIONI.
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.
April 23, 2016
April 23, 2016
No comments:
Post a Comment