Tuesday, February 24, 2015

WAISLAM NAOMBENI MAJIBU KATIKA UTATA HUU WA AYA ZA QURAN!!!


Kila nikiulizaga maswali kwa ndugu zetu waislam hawanijibu,wanachokifanya ni kubadilisha maada tu na kuleta kejeli zao.!! Sasa leo naombeni msifanye hvyo maana kama dini yenu inaitwa UNYENYEKEVU yaani ISLAM basi inawalazimu kunijibu kwa unyenyekevu pia..Labda tuanze kuomba dua ili Mola awape uwepesi wa kujibu maswali kwa ufasaha.[[kotasini]] Rabbij-'al Haadha
Baladan Aaminaw-war
Zuq Ahlahu Minath-
Thamaraati Man
Aamana Minhum Billahi
Walalyawmil-AalahirRabbanaa Taqabbal
Minnaa Innaka Antas-
Sami 'ul `AliymRabbana Way-'alnaa
Muslimayni Laka
Wamin Dhurriyyatinaa
Ummatam-muslimata.


SASA WAISLAM NAOMBENI MNIJIBU

Maana tumeshaomba, na tunaamini kuwa mola wetu yeye anasikia dua "innaka Sami'ud-Du'aa"
Sasa Kwa Kukua Anasikia Dua Najua Atawapa Uwepesi Wa Kujibu Maswali Haya.. 


MADA
Al- Nisa4;82
Je hawaitafakari Qur'an? Kama Isingekuwa Imetoka Kwa Allah,hakika Wangekuta Ndani Yake Sehemu Nyingi Zinapingana.1.Sura Al-Baqara2;109
Hapa Qur'an Inaógelea Watu Wa Kitabu(yaani Wakristo) na KusemaWengi Wa Watu Wa Kitabu Kutokana Na Wivu Wao Wanatamani Kuwarudisheni Kwenye Kutoamini Baada Ya Kuwa Mmeamini,pamoja Na Kwamba Ukweli Umeshadhiririshwa Wazi Mbele Yao..Kwahyo Wasameheni Na Kuwavumilia Hadi Allah Atakapo Wafunulia Mapenzi Yake,Yeye Ana Nguvu Juu Ya Kila Kitu. Pia Inawaagiza Waislam Katika
Sura Ar Imran3;20


Kwamba
Kama Wasipowasikiliza Basi Ninyi Kazi Yenu Pekee Ni Kuwaonya tu.kwahiyo kutokana na aya hizo mbili
Al-Baqara2;109 Na Ar Imran3;20
Tunaona Mambo Yafuatayo!!1.Ni Wajibu Wa Waislamu Kuhubiri Dini Yao Lakini Si Wajibu Wao Kuwalazimisha Watu Kuamini Dini Yao.2.Allah kwa wakati wake atawafunulia wale wasioamini ukweli wa mambo.3.Ni wajibu wa Waislam Kutoa Maonyo tu kwa Wale Wanaowahubiria. 


LAKINI HEBU TAZAMA AYA ZIFUATAZO NA ZINAVYO LETA UTATA KATIKA QIRAN.
AL-Nisa4;101
Wale Wasioamini Ni Maadui Zenu Wakubwa.Vilevile Inasema Katika Sura Ya Al-Tawb9;3
Tangazeni Mapigo Makuu (Ya Ole) Kwa Wasioamini.Pia Al-anfaal8;39
Fanyeni Vita Juu Yao Hadi Kusiwepo Na Mateso Tena Na Hadi Pale Dini Ya Allah Itakapo Tawala. 



MASWALI.
1.Je Aliyempa Muhammad Maneno Ya 2;109,3;20 Na Yale Ya 4;101,9;3,8;39 Ni Huyu Huyu Au Ni Wawili Tofauti?2.Iweje Aseme Kuwa Usiwalazimishe Watu Kuamini Bali Waonyeni Na Kuwavumilia Tu,kisha Anageuka Sehemu Nyingine Na Kusema Walazimisheni,tena Kwa Vita.3.Je Hii Si Ishara Ya Tabia Ya Usahaulifu Ambayo Si Tabiaa Ya Mungu Bali Ya Mwanadamu?4.Kama Ni Huyuhuyu Je Aya Hizi Zinafanana Au Zinapingana?5.Kama Zinafanana Ni Kwa Vipi Kama Zinapingana Huu Si Ushahidi Tayari Kuwa Qur'an Haitoki Kwa Mungu Wa Kweli Kama Ambavyo Qur'an Yenyewe Imeweka Kigezo Cha Kujua Hilo?Maana Mungu Wa Kweli hawezi Hata Kidogo Kusahau Jambo Alilolisema Kabla Halafu Aje Aseme Kitu Tofati! Ni Viumbe Tu Ndio Wanaweza Kusahau Au Kukosea!!!2..Sura Al-Ankabut29;6
Allah Hahitaji Kusaidiwa Na Viumbe Wake
(bila Shaka Ni Katika Kutekeleza Makusudi Na Mipango Yake)Sura Muhammad47;7


If You Help Allah, he Will Help You And Make You Strong.Yaani
Kama Mkimsaidia Allah,yeye Naye Atawasaidia Na Kuwafanya Imara.


MASWALI.
1.Umesema Huhitaji Msaada,kisha Unasema Tena Unahitaji Msaada!Je Mungu Anaweza Kufanya Jambo Kama Hilo?2.Je Aya Hizi Zinafanana Au Zinapingana??3.Je Hii Si Ishara Kuwa Aya Hizi Zilisemwa Tu Ili Kukidhi Mahitaji Ya Wakati Fulani,lakini Msemaji Alipoona Anahitaji Kuwa Fanya Watu Watende Kinyume Chake,akajikuta Amesema Tofauti Na Alivyosema Siku Za Nyuma..Na Tena Qur'an Inasema Katika
Sura Al-Baqara2;244
Fight For The Cause Of Allah And Bear In Mind That He Hears All And Knows All.Yaani
Fanyeni Vita Kwa Ajili Ya Allah Na Mkumbuke Kwamba Anaona Yote Na Anajua Yote. 


MASWALI
Kama Kweli Allah Hahitaji Msaada Wa Viumbe Wake!Na Kama Kweli Aliumba Ulimwengu Wote Kwa NENO TU,iweje Neó Hilohilo Lisiweze Kuwa Badilisha Wanadamu Hadi Alazimike Kuliingiza Ndani Yao Kwa Nguvu Kwa Vitisho Na Kwa Ukali Namna Hyo?[[kotasini]] Ukristo Unashinda Na Unafanikiwa Kwa NENO tu..maana na sisi tumeubwa kwa mfano wa Mungu Wetu Yeye Aliumba Kwa Neno Tu!Na Sisi Watoto Wake,tunaumba Neno Hilo Hilo,tunahubiri Tu Watu Wanaokolewa,wanaponywa,wanalindwa Na Kusimama Na Mungu Wa Kweli,huoni Kwamba Hasa Ndyo Nguvu Za Mungu?


Hata Huhitaji Kuchina Au Kupiga Watu Ili Wampende Mungu!Unawezaje Hata Tu,wewe Mwenyewe Kumfanya Mwanao Au Mkeo Akupende Kwa Njia Ya Vipigo Na Kulazimisha??yaani ukitaka mwanao au mkeo akupende utamshikia rungu au panga akuabudu?Je Hiyo Si Ishara Kwamba Wewe Huna Nguvu Ndiyo Maana Unalazimisha?? Je Huko Si Kujikanyaga Maana Umetuambia Kuwa Wewe Ni Mungu Unayeweza Yote! Sasa Inakuwajekuwaje Hapo?? 


NOTE
Siku ya hukumu mtume Muhammad atasema "kwanini mliniamini mimi?wakati sikujua ninapoenda?kwanini mmeamini Qur'an wakati ukweli upo wazi kwamba 'kama Qur'an Haikutoka Kwa Allah,hakika Wangekuta Ndani Yake Sehemu Nyingi Zinazopingana?Haya Sheikh Mstaafu Amewapa Ukweli Lakini Hukumsikia,,haya Wote Tunachomwa Kwenye Moto!!


Je Utamlaumu Nani?

Mtume Muhammad Na Allah Wake Kwa Kuwadanganya?

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW