Monday, January 31, 2022

VITUKO KWENYE UISLAM SEHEMU YA SABA

 


Imamu Husein (as) aliuawa kwa haki na Yazid (Na’uzubillah). [-Jame al-Saghir, Juzuu ya 1 ukurasa wa 365]
Imamu Husein (as) alifanya makosa kwa kufanya ‘uasi’ (Na’uzubillah). [Muhadrat fi Tarikh al-Umam al-Islamyia, Juzuu ya 2 ukurasa wa 129]
Bibi Aisha alifanya Ghusl mbele ya wanaume (Na’uzubillah). [Sahih Muslim, Kitabu 003, Nambari 0626]
Aisha hakuwa na uhakika kama Mtukufu Mtume (s) angesema ukweli (Na’uzubillah). [Ihya Ulum-id-din cha Imam Ghazzali, Juzuu 2 ukurasa wa 36]
Mtume (s) hakumpenda Hafsa (Na’uzubillah). [Kitabu cha Sahih Muslim 009, Nambari 3507]
Aisha na Hafsa walijaribu kuzua mpasuko kati ya Mtume (s) na mkewe Zainab kwa kumsingizia uwongo (s) (Na’uzubillah). [Sahih Bukhari Juzuu ya 6, Kitabu cha 60, Nambari 434]
Aisha alijaribu kumchochea mke wa Mtume Malika dhidi yake (s) (Na’uzubillah). [Tabaqat Ibn Saad, Juzuu ya 8 ukurasa wa 148]
Ummul Mumineen Khadija alikuwa kikongwe miongoni mwa vikongwe vya Waquraishi mwanamke mzee (mwenye mdomo usio na meno) mwenye fizi nyekundu (Na’uzubillah). [Sahih Bukhari Juzuu ya 5, Kitabu cha 58, Namba 168]
Aisha alijaribu kujiua wakati Mtume (s) alipompuuza (Na’uzubillah). [Sahih Bukhari Kitabu cha Nikah Juzuu ya 7, Kitabu cha 62, Namba 138]
Wake zake Mtume ni kama wanawake wa Yusuf (Na’uzubillah). [al-Tabaqat al Kabir, Juzuu ya 2 ukurasa wa 305 Tafsiri ya Kiingereza ya S. Moinul Haq]
Shalom
Dr. Max Shimba for Max Shimba Ministries

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW