Friday, December 7, 2018

YESU ALIJIITA MUNGU MBELE YA WAYAHUDI



Image may contain: one or more people and textYESU ALIJIITA MUNGU MBELE YA WAYAHUDI
YESU alijita-mbulisha kwao kuwa ni MUNGU lakini hawakuelewa
Yohana 10:30-33 “Yesu akawajibu, kazi njema nyingi niwewaonyesha zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe? Wayahudi wakamjibu, kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwasababu wewe uliye.mwanadamu wajifanya kuwa Mungu.
Wayahudi walisema anakufuru kwa kusema kuwa yeye ni Mungu.
Kimsingi Yesu ni Mungu ndio maana anasema huwezi kumtenganisha na Mungu Baba; ukimwona yeye umemuona Mungu Baba.
Yohana 14:7-9 Katika mstari 8 na 9 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote,wewe usinijue, Filipo?
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW