Friday, September 7, 2018

MOHAMMAD ALIKUWA ANAELEKEZA USO WAKE YERUSALEM WAKATI ANAOMBA NA SIO KAABA

MOHAMMAD ALIKUWA ANAELEKEZA USO WAKE YERUSALEM WAKATI ANAOMBA NA SIO KAABA
Usiweweseke Muhammadan, ushahidi huu hapa:
Imesimuliwa na Al Bara (Bin Azid)
Wakati Nabii wa Allah alipo kwenda Madina, alikaa kwanza kwa Babu zake halafu kwa Wajomba zake kutoka Ansar. Alipo kuwa anaswali alielekeza uso wake Baitu-Maqdis (Yerusalem) kwa miezi Kumi na Sita au Kumi na Saba, ingawa alitamani aangalie Kaaba. Sahih Bukhari Kitabu 2 Juzuu 39.
Narrated Al-Bara' (bin 'Azib):
When the Prophet came to Medina, he stayed first with his grandfathers or maternal uncles from Ansar. He offered his prayers facing Baitul-Maqdis (Jerusalem) for sixteen or seventeen months, but he wished that he could pray facing the Ka'ba (at Mecca)........................
BUKHARI (Book #2, Hadith #39)
Ndugu zanguni,
Kwanini Marehemu Mohammad aliogopa kuangalia Kaaba?
Kwanini Marehemu Mohammad aliangalia Yerusalemu?
Uislam ni dini ya kutengeneza na Mohammad alisha waingiza mkenge hawa jamaa zetu.
Bora sie Wakristo tusio fuata mkumbo na tunaelekea sehemu yeyote ile, maana Yesu Wetu yupo kila Mahali na sio Kaaba kama ilivyo kwa Allah.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13Image may contain: one or more people and text

No comments:

WHAT DOES IT MEAN "THE WORD OF GOD IS GOD"?

 WHAT DOES IT MEAN "THE WORD OF GOD IS GOD"? Dr. Maxwell Shimba explains: The Word and the Divine Nature – A Comprehensive Exposit...

TRENDING NOW