Rafiqul Islam, 30, alimziba macho mke wake Hawa Akhter, 21 na kuziba mdomo wake kwa "tape" huku akimwambia alikuwa anataka kumshangaza kwa zawadi nzuri. Lakini baadae alimwambia anyooshe vidole vyake na kuvikata vyote vitano. Baada ay kuvikata vidole vyake, akavitupa vidole vyote kwenye pipa la takataka na kuhakikisha kuwa Madaktari hawata vipata na kujaribu kuvirudisha.
Hii tabia imekuwa kubwa katika Uislam inayo wakataza wanawake kwenda shule na kusoma masomo ambayo si ya kidini.
Kwa habari kamili ingia hapa.
No comments:
Post a Comment