Tuesday, June 6, 2017

ZANZIBAR – MUISLAMU KAKOJOLEA QURANI

No automatic alt text available.
Kwa mujibu wa gazeti la Zanzibar la tarehe 10/10/2012 No. 3811 kuna taarifa ya Muislamu kapelekwa “Mahakama ya wilaya Chake Chake Pemba, chini ya Hakimu Omar Hamza, alipandishwa kizimbani na kisha kumweka rumande kijana Faridi Abdalah Faridi (26) mkazi wa Wawi wilaya ya Chake Chake – Pemba, akikabiliwa na tuhuma ya kuutia Msaafu mkojo hayo yalikuwa tarehe 06/10/2012.
Hoja yangu mbona Waislamu hawakuinuka na wala hawakufanya vurugu na kuchoma Misikiti?
Kama ingekuwa Mkristo ndio Kaikojolea Quran, naamini hawa Muhammadans wange choma Makanisa kwa gadhabu na chuki kubwa kubwa, lakini kwa kuwa aliye ikojolea Quran i Muislam mwenzao, wakakaa kimya na kuto choma Misikiti moto.
Hakika hii ni dini ya ajabu sana tena yenye chuki kubwa ndani yake.

No comments:

Jesus said to Thomas that HE IS THE LIVING GOD

John 14 ► Peshitta Holy Bible Translated Verse 5 and 6 Thoma said to him, “Our Lord, we do not know where you are going and how can we know ...

TRENDING NOW