
Hadithi ya Anas Ibni Malik (r.a) kuwa Mtume (s.a.w) amesema jahanamu itaendelea kusema, “Je, kuna nyongeza”? Mpaka Allah atakapoweka humo unyayo wake na hapo utasema, Qat Qat (inatosha inatosha) naapa kwa nguvu zako na zile sehemu zake nyingine zitakaribiana na kuwa pamoja” (Bukhari Hadithi Na. 654, Juzuu ya 9)
No comments:
Post a Comment