
Hadithi ya Aisha (r.a) amesema Mtume (s.a.w) alirogwa, mpaka akawa anaona kama anawaingilia wakeze na hali ya kuwa hawaingilii sufiyan mmoja wa wapokezi wa hadhithi hii amesema ndiyo uchawi mbaya mno unapokuwa namna hivi… (Alu-lu-lu wal-marjan, uk 822, hadithi na. 1412)
No comments:
Post a Comment