
Mchawi huandika moja ya sura katika Quran au baadhi ya za Quran kwa kutumia damu ya hedhi au kutumia uchafu mwingine wowote, kama vile kinyesi cha binadamu, wanyama, kisha mchawi anasoma tarasimu ya kishirikina shetani wa kijini utokea na mchawi humuomba msaada wa jambo analolitaka, na huyo jini hukubaliana nae kwa mashariti watakayo kubaliana (Kitabu cha sina za majini, UK9)
No comments:
Post a Comment