Tuesday, April 4, 2017

YESU NDIE MWOKOZI WETU PEKEE

Image may contain: ocean, sky, cloud, text, water, outdoor and nature
Yesu Kristo, alikuja duniani na akatufia pahali petu. Kifo chake Yesu,[kama Mungu katika mwili], ilikuwa ni malipo yasiyokuwa na mwisho kwa ajili ya dhambi zetu (2 Wakorintho 5:21). Yesu alikufa ili kutulipia mshahara wa dhambi zetu (Warumi 5:8).
Yesu alitulipia deni ili tukaweze kuwa na uhuru. Kufufuka kwake Yesu katika wafu kulidhihirisha yakwamba kifo chake kilitosha kulipa mshahara wa dhambi zetu. Hii ndiyo sababu yakuwa Yesu Kristo ndiye Mkombozi tu wa pekee (Yohana14:6; Matendo 4:12)!
Je, unamwamini Yesu kama mwokozi wako?
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW