Waebrania 1:8, Baba asema juu ya Yesu, “Lakini juu ya mwana asema haya, “Na Kiti chako cha enzi, wewe Mungu, Kitadumu milele, na haki itakuwa fimbo ya ufalme wako.”
Huitaji Digrii kuelewa hii aya rahisi kabisa, na wala huitaji kufudhu chekechea kukubali kuwa YESU NI MUNGU.
Teyari Mungu Baba amesha kujibu wewe unaye pinga Uungu wa Yesu, kuwa
1. YESU ANA KITI CHA ENZI.
2. YESU NI MUNGU.
3. YESU ANA UFALME.
1. YESU ANA KITI CHA ENZI.
2. YESU NI MUNGU.
3. YESU ANA UFALME.
Shalom.
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment