Kasema Mtume (s.a.w) "Akimwita Mwanamme mkewe kwa haja ya kumuingilia, basi amjie hata ikiwa huyo mke yuko katika tanuri Jikoni anapika" aache kazi yake huko Jikoni amtimizie haja yake mumewe, hii ni haki ya mume. (Mkweli Mwaminifu, J. 1-2, Hadithi Na. 462, Uk. 204).
HATA ALIPOKUWA AKIUMWA!
''Mtume kuamka tu asubuhi aliamka na kichwa kikali na homa ndogo. Kila siku ikipambazuka na homa ilikuwa ikizidi. Lakini vivyo hivyo alikuwa akijikaza kwenda msikitini kusali na kwenda kumtimiizia ngono za kila mke katika wakeze tisa''
(Kitabu cha maisha ya mtume,Sheikh A.S.Farsy,uk.79)
(Kitabu cha maisha ya mtume,Sheikh A.S.Farsy,uk.79)
HII DINI NI YA AJABU SANA.
No comments:
Post a Comment