Tuesday, March 21, 2017

Bw Abdul Khamis ambaye alifariki siku za nyuma na familia yake kukiri kuwa alikufa



Kwa muuda mrefu niliishi mapangoni na wadudu wakali lakini kwa sasa Yesu ameniponya kupitia Nabii Joshua

Bw Abdul Khamis ambaye alifariki siku za nyuma na familia yake kukiri kuwa alikufa baada ya kifo chake kusababishwa na kujichoma kisu tumbani , lakini baada ya siku kadhaa mtu huyu alifufuka na kutokea katika viwanja vya Kanisa la Uponyaji "Kweli Nimefufuka kwa Joshua "


Sehemu ya Kidonda ambacho bw Abdul Khamis kabla ya kifo chake alikumbuka kuwa alijichoma tumboni na kulazwa katika hospitali ya mkoa mpaka kuktwa na umauti

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW