Friday, March 17, 2017

ALLAH KASEMA ISRAEL NI TAIFA BORA NA LA NEEMA KULIKO WALIMWENGU WOTE





1. Allah asema Israel ndio taifa la Mungu, Surat Al Baqara 47
2. Allah asema ardhi ya Israel ni ya Waisraeli, Soma Quran Surat Al Maida aya ya 21
3. Palestina yakatwa na haipo kwenye Quran
Ndugu wasomaji,
Huu ni Msiba kwa Waislam wanao pigia debe Wapalestina. Hivi kwanini Allah hakuitaja Palestina kwenye Quran yake? Lakini ameitaja Israel na Waisraeli?
Surat Al Jaathiya 16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
ALLAH ANASEMA KWA WAYAHUDI KUWA ARDHI YA ISRAEL IMETAKASWA NA IMEANDALIWA KWA AJILI YAO:
Allah (s.w.t.) amesema: Enyi watu wangu! Ingieni katika hiyo ardhi iliyotakaswa ambayo Allah amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.(5:21)
Katika aya hapo juu, Allah anawaita Wayahudi kupitia Musa "WATU WANGU" zaidi ya hapo anawaambia kuwa Waende Israel kwenye ARDHI ILIYOTAKASWA, kumbe ata Allah anafahamu kuwa ardhi ya Israeli si ya Wapalestina.
Ndugu msomaji, kwanini Allah anaiita ardhi ya Israel kuwa imetakaswa lakini hakuwai sema hivyo kwa Makka?

Ardhi hii imebarikiwa kiroho na kirutba. Ni jambo hili ndilo lililowafanya watu na staarabu tofauti kuigombania. Agano la Kale inatuhadithia ya kuwa ardhi hii ilibubujika asali na maziwa.
(Hesabu, 13:27) Na katika kitabu cha Hesabu Sura ya 13 inatueleza kuwa WAISRAEL walipo kuwa wakitoka Misri walipata humo matunda ya makudhumani, tini na zaituni ambayo yalikuwa makubwa na kila tunda kubebwa na watu wawili.
Swali lamsingi:
KWANINI ALLAH HAKUITAJA PALESTINA KWENYE QURAN YAKE?
Waislam, Allah kasema kwa Waisrel kuwa, WAINGIE KATIKA ARDHI ILIYOTAKASWA, sasa, kwanini nyie mnataka Wapalestina ambao hata Allah hawajui, wavamie ardhi ya Israeli?
Waislam wanawivu mkubwa sana kwa Israel kwasababu Allah amesema kuwa Israel ni ardhi iliyotakasika na hakusema kuwa Uarabuni kumetakasika. Huu ni MSIBA kwa Waislam.
ALLAH ANASEMA:
SURAT AL BAQARA 40. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu.
Allah anaendelea kusema kuwa Israel wana neema ya Mwenyezi Mungu, lakini hatusomi Palestina ikitajwa hata sekunde moja, wala hatusomi kuwa Waarabu wameneemika.
ALLAH ANASEMA KUWA ISRAEL NI ZAIDI YA WAARABU WOTE
Surat Al Baqara 47. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.
ALLAH ANAKIRI KUWA AMEWATEUWA WAISRAELI KULIKO WATU WENGIENEO, IKIWEPO WAARABU, KUMBE NDIO MAANA WAARABU WANA CHUKI KUBWA KWA WAISRAELI KWASABABU WAO HAWAKUTEULIWA
Kama ulivyo soma hapo juu, Israel ina neema na ni zaidi ya wengine wote, pamoja na Palestina. Kumbe ndio maana Waarabu hawana ubavu kwa Israel.
Leo ningependa muelewe kuwa, Israel ni nchi iliyo barikiwa na hata Waarabu wafanye nini, hata Allah wao amekiri kuwa Waarabu wataendelea kufuata mkia kwa Israel mpaka Kiyama.
ALLAH KAWAPA ISRAEL KITABU, HUKUMU NA UNABII NA KUWAFADHILISHA KULIKO WALIMWENGU WOTE
Surat Al Jaathiya 16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
Kumbe Israel wamepewa Unabii, Kitabu na Hukumu. Hii ndio sababu Waraabu wanaendelea kusaliti amri kwa Israel.
Kwanini Allah hakuitaja Palestina kwenye Quran?
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW