Wednesday, February 8, 2017

Ikiwa Issa ndio Yesu wapi ndani ya Quran kanzu ya Issa ilipigwa kura/MNADA?

Yohana 19:23 Nao askari walipomsulubisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake,wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake, na kanzu nayo. basi kanzu ile haikushonwa, ilikuwa imefumwa yote pia tangu juu. 24 Basi wakaambiana, tusiipasue, lakini tuipigie kura, iwe ya nani.ili litimie andiko lile linenalo, waligawanya nguo zangu, na vazi langu wakalipigia kura. basi ndivyo walivyofanya wale askari. 

Swali ni hii,ikiwa Issa ndio Yesu wapi ndani ya Quran kanzu ya Issa ilipigwa kura/MNADA?

Image may contain: 2 people, people standing

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW