Sunday, February 26, 2017

ENHEE, KUMBE ALLAH HAJUI KILA KITU

Image may contain: text
ANADAI KUWA ANAJUA KILA KITU
………….
Katika quran 6:101 anasema:
Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.
…………..
Ukisikia mtu anasema, “Nitaendaje wakati sina nauli?” unajua tu kuwa anachomaanisha ni kwamba, wanaoenda kule LAZIMA wawe na nauli. Hiyo ndiyo mantiki ya swali lake, si ndio?
…………..
Sasa huyu allah anauliza kwamba, “Nitakuwaje na mwana wakati sina mke?”
…………..
Mantiki yake ni kwamba, eti:
1. Ili Mungu awe na mwana ni LAZIMA awe na mke.
2. Sisi tusemapo Yesu ni Mwana, eti tunamaanisha Mungu alioa ndipo akamzaa.
…………..
Cha ajabu anamalizia kwa kusema:
Naye (yaani allah) ni Mwenye kujua kila kitu. :O :O
Yaani hapo eti ndio anatudhihirishia ujuzi wake!! :O :O
Eti anajua kuwa sisi, Biblia na Mungu wetu tunamaanisha hivyo!! :O :O
………….
Mwenye kujua yote!! :D :D :D
…………
Hebu iweni wa kweli enyi familia ya allah, japo mara moja kwa mwaka.
Uongo kama huu mnauamini wa kazi gani?
Ingekuwa kweli hicho ndicho tunachomaanisha, ni kweli angekuwa mjuzi. Lakini hiyo siyo maana kamwe; sasa huyu allah ajuacho ni nini kama si kudanganyana tu hapa?
Imeletwa kwenu na Jimmy John

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW