Monday, January 16, 2017

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KUSEMA NGURUWE NI KITU KIZURI NA NI HALAL

Image may contain: one or more people, dog and text
HUU NI MSIBA KWA WAISLAM WANAO MZULIA UONGO ALLAH.
Quran inasemaje kuhusu nyama ya Nguruwe;-
(Surat an-Nisaa 4;160). Quran inasema hivi katika aya hiyo “Basi kwa dhulma yao hao Mayahudi tuliwaharimisha VITU VIZURI walivyohalalishiwa na vilevile kwa sababu ya kuzuiliwa kwao watu wengi na njia ya mwenyezi Mungu” http://www.quranitukufu.net/004.html
Hii ni aya iliyo wazi kuwa Wayahudi PEKE YAO NDIO walizuiliwa KULA VITU VUZIRI kwaajili ya dhuluma, Mungu alitaka kuwahukumu kwa kuwanyima baadhi ya VITU VIZURI Quran inakiri wazi kuwa Nguruwe ni KITU KIZURI Umeona?
Surat An Nisaa aya 160 INASEMA:
1. Wayahudi ndio walio haramishiwa VITU VIZURI "NGURUWE"
2. Hii aya nasema kuwa, NGURUWE NI VITU VIZURI.
SWALI KWA WAISLAM:
1. Kwanini hamli NYAMA NZURI YA NGURUWE?
2. Aliyeharamishiwa kuwa NGURUWE NI WAYAHUDI, sasa tokea lini nyie Waislam mmekuwa WAYAHUDI na kuacha kula VITU VIZURI "NGURUWE"?
QURAN INASEMA KUWA YESU ALIKUJA KUHALALISHA KULA NYAMA YA NGURUWE:
Quran inafundisha kuwa Yesu alikuja kuhalalisha yale yaliyo harimishwa (Surat al-Imran 3;50).
Quran inasema haya katika aya hii “ Na nitakuwa Msadikishaji way ale yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati na nimekuja ili NIKUHALALISHIENI yale MLIYOHARIMISHWA na nimekujieni na hoja Kutoka kwa Mola wenu kwa hiyo mcheni mwenyezi Mungu na NITIINI”
Hayo ni meneno ya Yesu Ndani ya Quran ikionyesha wazi kuwa Yesu alikuja kuhalalisha yale yaliyoharimishwa katika Tourati na anatuamuru kumtii, ni wazi kuwa Yesu ameruhusu kula Nguruwe ndani ya Quran
Pia
QURAN INASEMA CHAKULA WANACHO KULA WAKRISTO NI KIZURI NA SIO HARAM
Quran imehalalisha kula vilivyo vizuri walavyo waliopewa kitabu (Al-maida 5;3-5).
Sura hii Almaida maana yake maswala ya meza inasema hivi:
“……..Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha wale waliopewa Kitabu ni Halali kwenu na chakula chenu ni halali kwao…”
Hii ni aya iliyo wazi inayoruhusu kila Muislamu kula vyakula vya Wakristo na Wayahudi na sisi kula vyao umeona!
Quran inafundisha kuwa Mungu hakuharimisha chochote ila wazee wa Kiyahudi waliharimisha kwa mapokeo yao tu (Al-an nam 146)
Quran inatahadharisha kuwa makini kumzulia Mungu uongo kuwa ameharimisha kitu kumbe hakuharimisha chochote (An Nahl 16;116)
Quran inaamuru uletwe Ushahidi kuwa ni wapi Mungu ameharimisha wanyama? Soma (Al an- am 6;150).
Hivyo ukisoma kwa makini Quran utaona hakuna kilicho haramu ndugu zangu Waislamu kula Nguruwe ni ruksa ila kiasi tu usizidishe ndivyo Quran inavyofundisha kama husadiki pale uwanja wa Sabasaba Tanga kwa Minchi Waislamu wenzenu hujumuika kula kiti moto kila iitwapo leo kwani wameelimika na wamegundua siri hii.
Mimi sikushawishi ila nina kuweka huru kama mwalimu wa kweli ya Mungu “….. Mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru.
Waislam, sasa mnaijua kweli na kuleni Nyama ya NGURUWE KITU KIZURI KAMA ALIVYO SEMA ALLAH KWENYE QURAN YENU Surat an-Nisaa 4;160.
Shalom,
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW