Zaidi ya Wislam 1200 ambao wamempokea na kumwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wao katika nchi kadhaa za Mashariki ya Kati wakubali kubatizwa.
Waislam hao ambao sasa ni Wakristo, wamemuomba Mchungaji wa "Bibles for Mideast" awafanayie ubatizo haraka iwezekanavyo.
Kikundi cha Injili cha Biblia kwa Mshariki ya kati (http://bibles4mideast.com) wapo katika kuomba na kufunga ili kupata mwongozo kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Wakati huo huo, Magaidi wa Kiislam na serikali za Kiislam wanapinga tukio hilo la kuwabatiza Waislam ambao sasa wamesha okoka na kumpokea Yesu.
Kwa habari kamili ingia hapa: https://bibles4mideast.com/…/1200-mideast-muslims-preparin…/
No comments:
Post a Comment