Habari mbaya kwa wafuasi wa Muhammad ambao wanasema kuwa Quran haichomeki walipigwa na butwaa baada ya kuona nakala zaidi ya elfu 5 za Quran zikiteketea kwa moto na kuwa masizi.
Suleiman al-Kubaisi alisema kuwa nakala hizo zilichomwa moto kwenye mpaka wa Alwaleed port ulipo Iraq na Syria.
Gazeti la Raialyoum "http://www.raialyoum.com" lilisema kuwa, nakala zingine zaidi ya 1280 zilitupwa jalalani.
Wataalam wa dini nchini Iraq wameanza kutabiri kuwa labda Uislam unakaribia mwisho wake.
No comments:
Post a Comment