Wednesday, December 14, 2016

MUHAMMAD AKIRI KUWA YEYE NI MTUME BANDIA NA HAJUI ATAFANYWA NINI BAADA YA KIFO


Surat Al Ah'qaaf 9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
Jamani leo tumepata ushaidi kutoka Muhammad kuwa Yeye sisi chochote na Uislam sio mali kitu.
Poleni sana wafuasi wa mtume kiroja kama alivyo dai mwenyewe na kukiri kuwa yeye hajui atafanywa nini baada ya kifo. Kumbe ndio maana kasema kwenye hadith hapa chini kuwa madheheb yote yataingia Motoni. Kumbe Muhammad ataingia Motoni. Kumbe Waislam wataingia Motoni.
"Wamegawanyika Mayahudi katika mapote 71, wakagawanyika Wakristo katika mapote 72 na Ummah wangu utagawanyika mapote 73. Yote hayo yataingia motoni.......)) [Ahmad, Abu Daawuud, atTirmidhiy na ad-Daarimiy]
Kama ushahid unavyo sema hapo juu kuwa Madhehebu yote yataingia Motoni, sasa, ni dhehebu lipi hilo ambalo halita ingia motoni?
Shalom
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo.
Image may contain: meme and text

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW