Wednesday, November 23, 2016

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA TANO)


YESU HAKUFANYA JIHAD
Yesu hakufanya Jihad kama ilivyo amri ya kila Muislam kufanya Jihad. Quran 2:216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui. Lakini Yesu alisema yafuatayo kuhusu kupigana: Yohana 18: 36 Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.
Katika aya hapo juu, Yesu anatufundisha kuwa Ufalme wake si wa hapa Duniani bali Mbinguni, hivyo basi hawezi kufanya Jihad kama Allah alivyo waamrisha Waislam. Yesu hakuwa Muislam na hakufanya Jihad.
YESU NI MUNGU.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW