Friday, November 25, 2016

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA SABA)


YESU HAKUFUNDISHA KUPIGA WAZINZI MAWE
Yesu hakupiga watu Mawe na wala hakufundisha kuwa Wazinzi wapigwe Mawe kama ambayo inafundishwa kwenye dini ya Uislam. Msome Yesu hapa: Yohana 8: 6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. 7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Lakini katika Uislam tunamsoma Muhammad akitoa amri ya kupigwa mawe mdhinifu: Volume 2, Kitabu 23, Namba 413:
Alisimulia 'Abdullah bin' Umar:
Myahudi kuleta kwa Mtume Muhammad watu wawili Mwanaume na mwanamke ambao walikamatwa wakifanya uzinzi kinyume cha sheria za ngono. Mtume Muhammad aliamrisha wote wawili wapigwe mawe mpaka kifo, karibu na mahali pa sadaka ya sala ya mazishi iliyopo kando ya msikiti.
Hivyo basi Yesu hakuwa Muislam na hakupiga wazinzi mawe lakini tunamsoma Muhammad akipiga watu mawe na akifundisha kupigwa mawe kwa Wazinzi katika Uislam.
YESU NI MUNGU.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW