Tuesday, November 29, 2016

MUHAMMAD AMTUKANA NA KUMLAANI MTOTO YATIMA





Nabii Muhammad alimtukana na kumlaani mtoto yatima aliye kuwa na Umm Sulaim (Ambaye ni mama ya Anas). Sahih Muslim, Book 032, Number 6297)

TOWENI ''ILIMU'' BILA MATUSI!
Kumbuka dini zote zinakataza matusi! 

UISLAMU:
Amesema Muhammad: "Hakika muumini wa kweli hawi ni mwenye kuwatuhumu watu, wala KUWALAANI watu, wala hawi na maneno MACHAFU" {Musnadu Ahmad juzu ya 1 ukurasa 416, hadith nambari:3948}

UKRISTO:
(Waefeso 4:31)-Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na MATUKANO yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya.

KUNA HUKUMU KWA WATUKANAJI!
(1Wakorintho 6:9-10)-Au hamjui wadhalimu hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike;Waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu wala wevi, wala walevi,wala WATUKANAJI.
Mungu awabariki sana.

Ni mimi Dr. Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu. Tito 2:13

For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW