Friday, November 25, 2016

MAANA YA NAMBA 666? (SEHEMU YA TANO)


Je! Uislam unahusiana vipi na namba 666?
Kulingana na kitabu cha mwisho cha Biblia, 666 ndiyo nambari, au jina, la yule mnyama-mwitu aliye na vichwa saba na pembe kumi anayepanda kutoka katika bahari. (Ufunuo 13:1, 17, 18) Mnyama-mwitu huyo anawakilisha mfumo wa kisiasa wa ulimwenguni pote, ambao unatawala juu ya “kila kabila na watu na lugha na taifa.” (Ufunuo 13:7) Jina 666 linaonyesha kwamba kwa maoni ya Mungu mfumo wa kisiasa umeshindwa kabisa. Linaonyeshaje hivyo?
Uislam umejengeka kupitia kitabu cha Qurani. Kitabu hiki kina jumla ya sura 114 na aya 6666, walimu wengine wanasema kina aya 6236. Wengine zaidi wanasema ni 6204 au 62203! Kumbuka hesabu ya mpinga kristo ni 666! Sasa hapa ili shetani asijidhihishe wazi kwa Kuwa aliona Yesu amefunua siri hii kwa ulimwengu. Akaamua kuongeza sita moja nyuma ya mia sita sitini na sita.
(1 Yohana 2:18) Neno “mpinga-Kristo,” linalotokana na neno ya Kigiriki linalomaanisha “dhidi ya (au badala ya) Kristo,” linafafanua mtu yeyote anayefanya mambo yafuatayo:
Anakataa kwamba Yesu ndiye Kristo (Masihi) au anakataa kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.—1 Yohana 2:22.
Anampinga Kristo, Mtiwa-Mafuta wa Mungu.—Zaburi 2:1, 2; Luka 11:23.
Anajifanya kuwa Kristo.—Mathayo 24:24.
Anawatesa wafuasi wa Kristo, kwa kuwa Yesu huona mambo wanayotendewa kana kwamba ni yeye anayetendewa.—Matendo 9:5.
Lakini hii haitoshi, moja ya dalili kubwa kabisa za mpinga Kristo ni kuwaua na kuwafunga gerezani wafuasi wa YESU.
Qruan imeagiza kwamba kama mtu ni mwislam kisha akaamua kuuacha Islam, mtu huyo auawe maana amekuwa kafiri! Quran 9:14 , 47:4.
Tumeona mara kwa mara waislamu wakitekeleza mauaji na uharibifu wa mali za wakristo, wakichoma moto mahekalu. Mfano: Tumeona wakichoma moto makanisa hapa kwetu dar es salaam na sehem zingine. Quran 9:29, 61:9-11"
Kwa sura hii moja kwa moja uislamu ndiye mpinga kristo.!
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini hawachomi moto nyumba za waganga wa kienyeji, lakini wanashughulika na wakristo tu! Ni kwa sababu kazi ya mpinga Kristo sio kuwasumbua watu ambao wako chin ya shetani, Bali ni kuwataabisha wafuasi wa YESU na kuhakikisha hawaendelei kuwepo duniani. Quran 9:73, 9:123,
Rafiki, tuko katika dunia ya shida. Na hizi ni nyakati za mwisho, kaza mwendo ukimtazama Bwana maana siku zetu hazikawii kuisha. Mungu akupe nguvu za kuweza kushindana siku ya uovu kwa Jina la YESU.

Kulingana na Maandiko mpinga Kristo ni mtu yoyote anayepinga kuwa YESU NI MWANA WA MUNGU Aliyekuja katika mwili na kufa msalabani kwa ajili ya kuwa komboa watu.
Wote tunajua kuwa Dini zote zisizo za kikristio zikiwemo Uislamu, Mabudha, Wahindu hizi zote ni dini wapinga Kristo kwa imani ya kikristo. Je vipi kuhusu dini za kikiristo?
1.Yohana 4;9Katika hili pendo la Mungu kwetu, Kwamba Mungu amemtuma Mwanae pekee ulimwengu upate uzima kwa yeye
Hii ni kudhibtisha kuwa ni kweli Mungu alimtuma Mwanae wa pekee aukombomboe Ulimwengu hivyo huu ni ukweli kuwa Mungu alikuwa na Mwana kabla ya kumtuma kuja kuzaliwa na Bikira Mariam.Hivyo kama angalikuwa hana Mwana asingaliweza kumtuma kuja hii ina dhibitisha Yesu Kristo alikuwepo hapo Mwanzo kabla hajazaliwa na Bikra Mariamu. ina thibitishwa na Andiko hili.
Yohana 17;5 Na sasa Baba,Unitukuze mimi pamoja nawe ,pamoja nawe ,kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
Andiko hili linadhibitisha kuwa Yesu Kristo alikuwepo kabla ya Ulimwengu kuwako .Hii inathibitisha kuwa kulikuwapo MUNGU BABA NA MUNGU MWANA wakiishi pamoja katika Utukufu.Hii ni kudhibitisha ROHO MTAKATIFU MUNGU BABA alimzaa ROHO MTAKATIFU MUNGU MWANA kabla ya kuumbwa kwa vitu vyote na kwa kwa kupitia MUNGU MWANA kila kitu kiliumbwa kupitia YEYE.
Yohana 1.3Vyote vilifanyika kwa huyo;wala pasipo yeye hakukufanyika kitu chochote kilichofanyika.
Nakushauri kwa nguvu kuwa USOME BIBILIA iliuweze kuujua ukweli huu wa MUNGU.
Kuzaliwa Kwa Yesu katika Roho Mtakatifu ulikuwepo kabla ya Misingi ya Ulimwengu huu kuwepo hapo Mwanzo.
Biblia inasema kwamba watu hupata ile “alama ya yule mnyama-mwitu” kwa sababu wanamfuata “kwa mshangao,” kufikia hatua ya kumwabudu. (Ufunuo 13:3, 4; 16:2) Wanafanya hivyo kwa kutukuza nchi yao kutia ndani nembo zake na uwezo wa kijeshi, kufikia hatua ya kuabudu mambo hayo. Kitabu The Encyclopedia of Religion kinasema hivi: “Utaifa umekuwa dini kuu katika ulimwengu wa leo.”
Mtu anapewaje alama hiyo ya mnyama-mwitu juu ya mkono na paji la uso wake?
Waislam wana alama ya weusi kwenye paji za uso wao. Alama hii wanaipata kwa kugongesha au sugua paji za uso wao wakati wanamwabudu yule mnyama anaishi ishi Makka. Kumbuka, Waislam wanaelekeza sura zao kule Makka.
Leo umejifunza kuwa, Uislam ndio dini ya mpinga Kristo.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW