HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM.
Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Allah wa Waislam amesema kiuwazi kabisa kuwa “wale wote ambao wanajivunia Uislam na kumuabudu Allah wataingia Motoni”.
Poleni sana waenda Jehannam.
Shalom
Dr. Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo anakwambia kuwa, MPOKEE YESU ILI USIDHARIRISHWE NA ALLAH.
PEACE TO YOU ALL.
No comments:
Post a Comment