Wednesday, October 12, 2016

WAISLAMU ZAIDI YA 50 WAOKOKA NA WENGINE 62 WABATIZWA MKUTANO WA INJILI ZANZIBAR

Watu zaidi ya 50 wameokoka na wengine 62 wamebatizwa katika mkutano wa injili wa siku tano ambao umeandaliwa na kufanyika katika kanisa la City Christian Centre visiwani Zanzibar. Hizi ni baadhi ya picha za mkutano huo jinsi ulivyokuwa kama zilivyowekwa kupitia katika blog ya kanisa hilo la CCC Zanzibar.

Askofu Kaganga akitoa maelekezo kwa waongofu wapya.
Siku ya mwisho ya mkutano.
Askofu Kaganga na Askofu Simon Masunga wakiongoza maombi wakati wa mkutano

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW