Thursday, October 6, 2016

DINI YA KIISLAM ILIANZISHWA SIKU YA JUMATATU MWEZI WA 17, SAWA SAWA NA TAREHE 27 DESEMBA MKWA 610 B.K.






KUMBE UISLAM NI DINI YA KUTENGEZA TU, TENA CHANGA SANA NA HAIKUWEPO KABLA YA MUHAMMAD
Muhammad aliambiwa na Allah asema: -
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi) "Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"
Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama) Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).
Katika ufafanuzi wa aya ya 19-20, katika Suratul Yusuf 12:20 kuna maneno haya--
Unaona kuuzana kulikuwako zaidi ya miaka 4000 kabla ya kuja dini ya kiislamu aliyokuja nayo nabii Muhammad. Kisha wakausingizia uislamu kuwa ndio uliokuja na kuuza watu.
Kadiri ya aya hizi zote tunaona ya kuwa dini ya kiislamu ilianzishwa rasmi hapa duniani Ramadhan siku ya Jumatatu mwezi 17 sawasawa na Tarehe 27 December mwaka 610 Baada ya Kristo (B.K), na mtu aitwae Muhammad Bin Abdalah Bin Abd-Muttalib Bin Hashim Bin Abd Manafu Bin Kusay. Mama yake aliitwa Amina Bint Wahab.
Ama baada ya kuona mwanzo wa Dini ya uislamu sasa tuanze kuangalia mbinu za waislamu.
Sahih Al-Bukhari Vol. 4 Hadith na 196, Ukurasa wa 124:
Imesimuliwa na Abu- Huraira: Mtume wa Allah akasema, Nimeamrishwa kupigana na watu hadi watakaposema hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah; Na yule atakayesema kwamba hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah, maisha yake na mali yake yataokolewa nami…
Hivi ndivyo alivyosema mtume wa waislamu Muhammad, aliye mfano mwema wa waislamu wote (Qurani 33:21 Suratul Al-Ahzab). Muislamu ni lazima atekeleze kama alivyoamurishwa Muhammad na Allah. Tena tunajua kwamba, watu wote hawawezi kusema "hakuna apasaye kuubudiwa ila Allah". Hao wasiosema hivyo, kadiri ya Hadith hii, wanatakiwa kupingwa na kuawawa mara moja. Kadiri ya Qurani, miongoni mwa watu wanaotakiwa kuangamizwa ni "Wayahudi na Wakristo" (Qurani 9:30 sSuratul At-tawba). Katika kufanikisha uendelezaji wa uislamu hivi sasa, waislamu wamebuni na kutumia mbinu mbalimbali.
Pia Sayyid Abul A’la Mawdudi, katika kitabu chake kingine kiitwacho, “Jihadi katika Uislamu” kilichofasiriwa na Hassan Athman Mnjeja, katika Uk.11-13 akielezea malengo ya Utawala wa dola ya Kiislamu, anasema: “Uhakika wa mambo ni kuwa Uislamu ni itikadi ya kimapinduzi na utaratibu unaokusudia kubadili mfumo wa jamii wa ulimwengu mzima na kuujenga upya ili ilingane na Imani na Itikadi zake. Waislamu ni jina la kile chama cha Kimapinduzi cha kimataifa chenymipango ya kimapinduzi. Uislamu unakusudia kuangamiza mataifa na Serikali zote hapa ulimwenguni ambazo ni dhidi ya itikadi na utaratibu wUislamu, bila kujal zinatawaliwa na nani. Lengo la Uislamu ni kuanzisha taifa kwa misingi ya itikadi yake na utaratibu bila kujali ni nchi gani itakuwa mstari wa mbele kusimamisha Uislamu au ni utawala wa taifa lipi

utahujumu mpango wa kuanzisha taifa la Kiislamu ……kubadili mifumo ya zamani ya kidhalimu na kujenga mfumo mpya wenye haki na usawa kwa kutumia upanga, ni Jihad vilevile.”
Uchawi na Ushirikana (Witchcraft and Sorcery):
Waganga wakienyeji ambao wengi ni waislamu wanawashawishi wagonjwa wakristo wasilimu kwa madai kuwa ili matibabu yafanye kazi. Basi jina la kikristo libadilishwe na upewe jina la kiislamu, ndipo matibabu yatafanikiwa. Tahadhari kwa wakristo wenye tabia za kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Mungu awabariki sana. Leo tumejifunza kuwa Uislam ni dini ya kutengenezwa tu na haikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhammad.
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW