Monday, October 3, 2016

ALLAH SIO YEHOVA "YAHUH" ( يهوه ) MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA SABA)



Ndugu msomaji,
Naanza kwa kuwauliza Waislamu: "Kwanini kwenye yale majina 99 ya Allah hakuna jina la Yehova "YAHUH"?
Sasa tusome vitabu vyao:
Katika Sahih hadith tunasoma kuwa:
Ime Hadithiwa na Abu Huraira:
Allah ana majina tisini na tisa, Mia toa moja, na yeyote atakayo amini maana zake na kufanya ya pasavyo, ataingia peponi. Na Mwenyezi Mungu ni witr(Mmoja) na anapenda witiri (idadi isiyo gawanyika kwa mbili ikajitosheleza).(Bukhari 6410)
Allah anakiri kuwa yeye ana majina 99, ona kupitia hii linkhttps://ibadhi.com/vipindi/416-dua-mchanganyiko/6238 NA HAKUNA JINA LA YEHOVA KATIKA HAYO MAJINA 99 YA ALLAH.
SASA TUMSIKILIZE MUNGU WA KWENYE BIBLIA ANAVYO JITAMBULISHA KWA WANADAMU.
Isaya 42:8 Mimi ni Yehova. Hilo ni jina langu; nami sitampa mwingine yeyote utukufu wangu mwenyewe, wala sitazipa sanamu za kuchongwa sifa yangu.
SASA ANGALIA ALLAH ANAVYO JITAMBULISHA KWA MUHAMMAD:
"Jua ya kwamba hakuna aabudiwaye kwa haki ila Allah..." (Qur’an. 47:19)
Unaona vituko vinaanza kwa huyu Allah. Allah anaogopa kutamka Jina la Yehova?
SASA ANGALIA MUNGU ANAVYO JITAMBULISHA KWA DAUDI:
"Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako Yehovah, ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote". (Zaburi 83:18)
SASA, kwanini nimfuate Allah ambaye anapinga Jina la Yehova Mungu wa kweli?
Kwanini Allah aliogopa kuweka Jina la Yehova kwenye Quran?
Kwanini kwenye yale majina 99 ya Allah hakuna jina la Yehova "YAHUH"?
Ni rahisi sana kumtambua Allah ambaye sio Menyezi Mungu. Maana kamwe hato weza jiita Yehova.
Kama kuna ushahidi wowote ule kwamba Allah aliwai jiita YAHUH "Yehova" Basi uleteni hapa ili tusilimu na tuwe Waislamu.
Nakusihi ufanye utafiti wako mwenyewe na uone kama kuna sehemu yeyote ile Allah amejiita Yehova kwenye, Quran, kama ukikosa aya, basi elewa kuwa ALLAH SIO MUNGU WALA MWENYEZI MUNGU WALA MUNGU WA ADAM, AU IBRAHIM, AU ISAKA, AU YAKOBO AU DAUDI, NK, bali Allah ni Mpinga Mungu.
Nawakaribisha Waislamu wote kwa Mungu wa Kweli anaye itwa YEHOVA.
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW