Friday, September 2, 2016

WAKRISTO 27 WAFUKUZWA SAUDI ARABIA KWA KOSA LA KUWA NA BIBLIA


Wakristo 27 wamefukuzwa nchini Saudi Arabia baada ya kukutwa na Biblia nyumbani kwao.
Kabla ya kufukuzwa na kurudishwa kwao, Wakristo hao walihukumiwa kwa kosa la kufanya ibada ambayo sio ya Kiislamu.
Askari wa Kidini wa Saudi Arabia katika eneo la Al-Aziziyah huko Mecca walithibitisha kukamatwa kwa hao Wakristo huku wakiwa katika ibada ambayo si ya Kiislamu.
Saudi Arabia ndio nchi yenye sheria kali za kidini na yenye chuki kubwa kwa Wakristo na Ukristo.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW