Thursday, September 29, 2016

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KUSEMA ANAKAA MAKKA NA SIO MBINGUNI


Allah anakubali na kukiri kupitia Quran kuwa Mungu wa kweli yupo Juu Mbinguni, ila kwa kutaka kuwakengeusha Waislamu, amewataka waelekeze nyuso zao huko aliko yeye yaani Makka.

Nini maana ya kuapa?
Kuapa, au Kula kiapo, au Kula Yamini, kunamaanisha kumthibitishia, kwa kutumia Jina la Mwenyezi Mungu, kwamba jambo fulani linaloapiwa – na ambalo halina ushahidi wazi wazi- ni kweli na sahihi kama linavyodaiwa na mwenye kula kiapo hicho na hivyo basi ni budi kusadikiwa madai hayo kwani Mdhamini Mkuu ni Mwenyezi Mungu, Mjuzi Pekee wa ukweli au uwongo wa mambo yaliyofichika nyoyoni!


Aya hapa chini inathibitisha kuwa Allah anaishi Makka na sio Mbinguni:
Quran Surat Al Balad iliyo fanyiwa tarjuma na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani aya ya 1-2 inasema:
1 Naapa kwa Mji Huu!
2 Nawe unaukaa Mji huu. http://www.quranitukufu.net/090.html


MASWALI:
1. Kwanini Muhamamd anaapa kwa Mji wa Makka?
2. Ninani huyo anayekaa Mji wa Makka ambaye Muhammad anaapa kwake?

Muhammad anaapa kwa Allah anayekaa mji wa Makka.

Baada ya Allah kuteremsha aya kuwa anakaa Makka, Muhammad na yeye anasisitiza kwa hadithi na kuwalazimisha Waislam waelekeze nyuso zao kwenye makao ya Allah, tunasoma:

TAFSIRI YA BULUGHUL-MARAM
Hadith 194 Jabir bin Samura, amesema:
" Mjumbe wa Allah amesema, watu wanaoelekeza macho yao mbinguni wanapokuwa ndani ya swala waache vinginevyo kuona kwao hakutowarudia.


Lakini kwa mujibu wa Quran Surat Al Mulk iliyo teremka Makka 67:17
tunasoma:

Mnadhani mko salama kwa Mwenyezi Mungu ambaye yuko mbinguni...

Yohana 11:41 Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.

Mungu wa kweli yupo juu Mbinguni, lakini Allah wa Waislam yupo Makka na ndio maana wanaeda kumswalia Makka.

Karibuni sana kwa Yesu na anawapena sana.

Max Shimba Ministries Org. 

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW