Wednesday, August 10, 2016

MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ADAM NA HAWA HAWAKUWA WAISLAM

HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAMU
=======================================
Ndugu zanguni, leo nataka kuwafahamisha Waislam kuwa, ADAM na HAWA hawakuwa waislam kama ambavyo wanavyo dai.
Ngoja nikusaidie kidogo:
Hivi unafahamu kuwa Uislam ulianzishwa na Muhammad na haukuwepo kabla yake?
Uislamu ambao ulianzishwa na Muhammad, Mtume wa Allah (s.w.t.) mnamo mwaka 610 A.D. huko Makka, na ulikamilishwa kwa msaada wa binamu yake, mshiriki na makamu wake, Ali ibn Abi Talib, mnamo mwaka 632 A.D. hapo Madina. Inahusisha kipindi cha miaka tisini kuanzia 570 A.D. wakati yeye Muhammad alipozaliwa huko Makka, hadi mwaka 661 wakati mrithi wake, Ali ibn Abi Talib, alipouawa huko mjini Kufah.
Kama unabisha nijibu yafuatayo:
1. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Taurat aliyo iteremsha Allah kwa Mousa kabla ya Quran.
2. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Zaburi aliyo iteremsha Allah kwa Daoud kabla ya Quran.
3. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Injil aliyo iteremsha Allah kwa Yesu kabla ya Qurann.
Kumbuka: Sina Muda na aya za Quran, maana Quran sio mkusanyiko wa vitabu "BIBLIA. Mimi nijibu kwa kutumia Taurat, Zaburi na Injili alizo ziteremsha Allah kabla ya Quran kuteremshwa kwa Muhammad.
Kama kuna Muislam yeyote yule hapa duniani atanionyesha "UISLAM" na au jina UISLAM na au neno UISLAM katika hivyo vitabu, LEO HII MIMI NITASILIMU NA KUWA MUISLAM.
Karibuni kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu.
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW