Habari kutoka "Christian Aid Mission" zinasema kuwa Kijiji cha Mindanao chenye Kabila la Manobo kilicho Kaskazini ya Filipino kimegeuka na kuwa Kanisa.
Baada ya kuangalia sinema ya Passion of Christ, wanakijiji wa Mindanao walimpokea Yesu na kuwa Wakristo.
Mavuno ni mengi sana na Yesu anaendelea kuokoa vijiji kwa vijiji.
Kwa habari kamili ingia hapa http://www.gospelherald.com/…/village-in-the-philippines-em…
No comments:
Post a Comment