Monday, July 11, 2016

WAISLAM WAPAGAWA BAADA YA KUONA SHEHE MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUINGIA KANISANI



Baada ya kuona picha hapa chini, baadhi ya Waislam wenye msimamo mkali na wafia dIni wamepinga vikali kitendo cha Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuingia Kanisani na kuamua kumuita Kafiri.
Waislam hawa wameshindwa kuvumiLIa na kuonyesha hisia zao kubwa zilizoo jaa chuki kuhusu kitendo cha Shehe wa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuingia kanisani.
Waislamu msihukumu kwa kutazama picha, bali fuatilieni mjue hapo ni Kanisani kweli? na kama ni Kanisani kweli, Je! ameenda kufanya nini? kuliko tu kuanza kutoa shutuma kwa kutazama picha.
Maana hata sisi Wakristo, tungeweza kutoa shutuma kwa Pope alipo ingia Msikitini kule Uarabuni, lakini tunajua aliingia kwa sababu zipi na ndio maana Wakristo wenye akili hawakuanza kumshutumu Pope kama ambavyo Waislam wanafanya kwa Shehe wa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaama alipo ingia Kanisani.
Swali kwa Waislam: Kwanini Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam alingia Kanisani?
Usijibu kwa jazba.
SURATUL MAIDDAH-51
Enyi mlio amini msiwafanye mayahudi na wakristo kuwa ni marafiki
Wao ni marafiki wao kwa wao na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki basi huyo ni katika wao hakika mwenyezI mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
JE, SHEHE MKUU NI MMOJA WAO?

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW