Saturday, July 23, 2016

MUHAMMAD NI NABII NA MTUME PEKEE ALIYE PATA UTUME KWA KUUGUA HOMA, NA ALIYEKUFA KWA KUUGUA HOMA




Sijambo la kustaajabisha kuwasikia Waislamu wa KIMNADI Muhammad kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu, na tena mbaya zaidi husema kuwa yeye ndiye kiongozi wa mitume na mwisho wa Manabii, NA MBORA WAO.
Yaani wakiwa na maana kuwa, Ibrahimu, Isaka, Musa, Yusufu, Yona, Haruni, Eliya, Daudi, Yohana, Yesu Wapo chini ki ubora dhidi ya Muhammad, kwa hivyo Marehemu Muhammad, yeye ni mbora wao, maana yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu, jambo hili kwa mtu mwenye akili timamu, haliwezi kumuingia kabisa, kwani Muhammad thamani yake inazidiwa na hata Yuda Isakariote (Aliyemsaliti YESU) sembuse Manabii hao? Ukimzungumza Eliya tu pekee ambaye yeye kwa Yesu hafiki hata robo, bado Eliya yupo juu mara 100,0000. dhidi ya marehemu Muhammad, na pia ni Makosa makubwa sana kwa Mkristo kusema eti Muhammad siyo nabii wala siyo mtume, ukimkuta Mkristo anakataa utume wa Muhammad, basi tambua kuwa huyo Mkristo hasomi kabisa habari za Yesu Kristo, kwani kila Mkristo ni lazima atambue kuwan Muhammad ni Mtume na NABII, swali la msingi sasa ni hili
JE! NI MTUME NA NABII WA UKWELI?
Ukisema Muhammad siyo mtume wala nnabii, maana yake wamfanya Yesu kuwa muongo, maana yeye alisema kuwa watakuja Manabii na Mitume wa Uongo.
Mathayo 24:11 Na manabiii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
Ufunuo 2:2 Nayajua matendo yako na taabu yako, subira yako, na kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume nao sio, ukawaona kuwa waongo.
Kwa hivyo Muhammad ni miongoni mwa hao Mitume ambao ni waongo, ambao sisi kama Wakristo yatupasa kuutambua uwepo wao hapa Duniani, kwani tumeshapewa angalizo la kuwatambua hawa wanaojiita Mitume na Manabii, hali ya kuwa ni waongo
1 Yohana 4:1-3
1 Wapenzi msiamni kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu: kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani.
2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili, yatokana na Mungu,
3 Na Kila roho isiyomkiri Yesu, haitokani na Mungu.
Na hiii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mliskia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
Kila nabii na mtume ambaye yeye hakubali kuwa Kristo alikuja katika mwili, kwa maana kuwa Mungu alidhihirishwa katika mwili, hiyo roho yaani huyo nabii si ambaye anatokana na Mungu, huyo ni Nabii anaetokana na shetani, kwa mujibu maandiko Matakatifu, Kristo alidhirishwa katika mwili.
1 Timotheo 3:16 Na Bila shaka siri ya utauwa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili,
Akajulikana kuwa na haki katika roho,
Akaonekana na Malaika,
akahubiriwa katika mataifa.
akaaminiwa katika ulimwengu,
akachukuliwa juu katika utukufu,
JINSI YA KUPIMA UNABII WA MUHAMMAD:
SASA KAMA MNATAKA KUAMINI KUWA KWELI Muhammad ni nabii na mtume wa uongo, waulizeni wafuasi wake, Je! Kwa mujibu wa uislamu, Wanakubali kuwa Mungu alikuja kwa njia ya mwili wa kibinadamu na kuonekana? Wakikubali, basi tambueni kuwa Muhammad na mtume wa kweli, na wakikataa basi mjue kuwa ni nabii na mtume wa Uongo
.
***********************************************************************************
TUJE SASA KWENYE KICHWA CHA SOMO, MUHAMMAD NI MTUME ALIYEPATA UTUME KWA HOMA.
Muhammad utume wake aliupata kwa njia ya kupigwa kabari (kubanwa) Na kupata homa katika kukabidhiwa huo utume wake feki. Habari hizi tunazipata kwenye Vitabu vinavyoelezea Historia na maisha yake Muhammad, kabla ya kuzaliwa, baada ya kuzaliwa, kufa kwake, na mazishi yake, tukisoma kitabu cha Historia ya Muhammad, kilichoandikwa na Sheikh Abdulla Saleh Farsy, Ule Uk 16, Paragraph 4, ambapo kuna habari ya Muhammad kukimbilia katika pango la Jabari Hiraa, ambako huko ALIENDA AKIWA NA MIAKA 38, mwaka wa pili alipokuwa humo pangoni, ndipo alipopewa kibano kilichopeleka kupata homa, na kutangazwa kuwa ni mtume na mkewe,
Tunaambiwa:
Hata siku moja katika mwezi wa ramadhani, mwezi 17 jumatatu katika mwaka wa 40 unusu wa umri wake, mtume alimuona mtu kamsimamia mbele yake bila ya kumona wapi katokea, akamwambia:
“Soma” MTUME AKAMJIBU, “Mimi sijui kusoma kwani sijapata kujifundisha kusoma”
Akaja akamkamta akambana, akamwambia tena “Soma” mtume akamjibu jawabu ile ile. Hata mara ya tatu akamwambia, “Soma Iqra Bism Rabbik” akamsomea sura hiyo ya 96 mpaka kati yake, kisha mtume akaisoma kama alivyosomewa. Hiyo ndiyo sura kwanza kushukua katika Quran ingawa haijawekwa mwanzo. Mara yule mtu akaondoka machoni mwake, asimwone wapi kaelekea, na Mtume akarejea kwake khofu imemshika.
SHEIKH ABDULLA SALEH FARSY ANAZIDI KUTUFAHAMISHA KILICHOTOKEA KWA MAUHAMMAD BAADA YA KUTOKA PANGONI ALIKOPIGWA KABARI, NA KISHA KULAZIMISHWA KUSMA WAKATI YEYE ALIKUWA MBUMBUMBU ASIYEJUA KUSOMA WALA KUANDIKA, FARSY ANASIMULIA KATIKA KITABU CHA WAKEZE MTUME WAKUBWA NA WANAE, ULE UK 12 PARAGRAPH YA 3, ANASEMA:
Basi mtume akafanya khofu akarejea kwa mkewe na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda , akataka afunikwe na maguo, mara akawa anatetemeka kwa nderema, na anaweweseka na kusema: “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga” Bibi Khadija pale pale, alimdakiza akamwambia, “Wacha hayo siyo yatakayokuwa hayo, wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako, wewe unatazama vema jamaa zako unachukua mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa nzuri ambazo hakuna mwenye nazo, unafanya hivi, na unafanya hivi, furahi ndugu yangu tua moyo wako, Wallahi mimi mkeo, naona umekwisha kuwa Mtume”.
KWA HIVYO MUJIBU WA maelezo hayo Muhammad kapata utume wake kwa homa, baada ya kubanwa na kiumbe huko pangoni, kiumbe ambacho Muhammad mwenyewe amesema kuwa ni shetani, ndiye aliyemchezea, na kumzuga, na kumharibu akili yake, shetani ambaye Muhammad kazaliwa akiwa nae, kwa mujibu wa Kitabu cha Fat’hul Baary, Uk 6 Hadithi Namba. 89 Kinasema,
Abu Huraira amesimulia kuwa, “Mtume Muhammad (S.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa”
Lakini mkewe katika kumtuliza mumewe wakiwa chumbani kitandani, akaamua kumriwadha na maneno matamu, ambayo kwa kweli hata kama ni wewe mwanaume lazima ulainke, mwisho wa mariwadho hayo, Bi KHADIJA ambaye hakuwa na Dini, hamjui Mungu, anamtangaza Muhammad mumewe kuwa ni mtume, na baada ya hapo sasa Habari zikaenea, na Waandishi wa vitabu vingine wakakoleza zaidi kwa kusema huyo aliyembana huko pangoni Muhammad, ni Malaika Jibril imani ambayo ipo kwa waislamu mpaka leo, wakati Muhammad mwenyewe amejieleza kuwa Shetani ndiye kamfanyizia, huko Pangoni mpaka kumtia homa, na mwisho kupata utume kupitia mkewe, hapo ni kabla ya Quran kuwapo, Kwa hivyo Quran ilipoanza, waliamua kufunika funika, Ili Muhammad aonekane utume wake kapewa na Mungu, kumbe sivyo.
MUHAMMAD ANAKUFA KWA HOMA.
Waislamu wengi wamekuwa wakificha kueleza ugonjwa ambao ulimuua Muhammad, yapo madhehebu ya kiislamu, ambayo yenyewe hudai kuwa Muhammad aliuawa, kwa kutiliwa sumu, na mwanamke wa Kiyahudi, na wengine hudai kuwa Bi Aisha, na Mke mwenzie Bi Hafsa, walimnywesha kwa nguvu Muhammad, Dawa ambayo ilikuwa ni sumu, Lakini Sheikh Abdulla Saleh Farsy anasimulia kuwa Muhammad kafa kwa homa, Tusome kitabu cha Maisha ya nabii Muhammad UK 79 Paragraph ya 4, Sheikh Farsy anasimulia:
Mtume kuamka tu asubuhi, aliamka na kichwa kikali na homa ndogo, na kila siku ikipambuzia na homa ilikuwa ikizidi, lakini vivyo hivyo, alikuwa akijikaza kwenda msikitini kusali, na kwenda kumtimizia ngono za kila mke katika wakeze tisa, Hata ugonjwa ulipomzidi sana aliwaomba wakeze ruhusa augulie nyumbani kwa Bibi Aysha, nao waje kumwuguza kuko huko. Mabibi hao wote walikubali shauri hiyo, Wakahamia nyumbani kwa Bibi Aysha kumwuguza mume wao mtukufu. Nyumba hii ya Bibi Aysha ilikuwa karibu na mskiti kuliko nyumba za wake wenziwe, Ndiyo maana Mtume akaichagua ili aweze kuhudhuria msikitini na kusalisha mwenyewe kila kipindi, na ndivyo alivyokuwa akifanya.
Ukisoma uk 80-81 Utaona jinsi gani Homa hiyo ilivyompelekesha Muhammad mpaka kufikia hali ya kufa, huku mdomo wako wake ukiwa wazi, kwa maumivu ya kutokwa roho, kufa na kuzikwa, NA Kilichopelekea Muhammad kupata utume kwa homa na kufa kwa homa, ni pigo kutoka Mungu BWANA, ambaye yeye ameahidi kuwapiga kwa homa wale ambao wanakweda kinyume na sheria zake alizoziweka.
Kumbukumbu la Torati 28:22 BWANA atakupiga wa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, kwa hari ya moto, na kwa upanga na kwa ukaufu, navyo vitakufukuza hata uangamie.
Kwa hivyo marehemu Muhammad kwa kitendo chake cha kupata utume kwa homa, na kufa kwa homa, ni fundisho tosha kwa wale wenye kumjua Mungu wa kweli, kutambua kuwa huyu siyo Mtume na Nabii wa Mungu, bali huyu ni wakala wa Ibilisi Shetani, ndiyo maana BWANA alimpiga kwa homa hata homa hiyo ikamuangamiza kabisa marehemu Muhammad, kama ambavyo Mungu ameahidi kwenye Kumbukumbu la Torati 28:22, kuonesha kuwa Muhammad huyu ni nabii wa Uongo, aliamua kuisifia homa kuwa eti ni Bahati na siyo pigo, Ili kuwapumbaza Waislamu wasimstukie kuwa hafai kufuatwa kama Nabii, kutokana na kupata utume wake kwa kuugua homa
Kasema Mtume (S.a.w) “Homa ni bahati ya kila muislamu kwa adhabu ya moto, na homa ya siku moja, inafuta madhambi ya mwaka mmoja kamili” (KITABU CHA MKWELI MWAMINIFU, JUZUU YA 3-4, HADITHI NA. 922)
Yaani huyu mtume alikuwa na vituko sana, yaani Homa ambalo ni pigo, yeye kwake ni bahati, yaani muislamu akiugua homa ya siku moja, basi anapata msamaha wa dhambi, za mwaka mzima, kwa maana kuwa kama muislamu ataugua homa kwa muda wa mwezi mzima, basi huyo anamsamaha wa dhambi, za miaka 30, ndio maana Waislamu hawaoni ajabu kufanya madhambi, kuua, kubaka, kupora, kama tunavyowashudia Alshabab, Boko Haramu, Isis, Alqaida, Terebani, Hamas, wakiwaua watu ovyo, huku WAISLAMU wenzao wakishangilia kwa kuwa wanajua homa kwao ni bahati, wakishaugua tu basi mwaka mzima au zaidi, mtu yupo free haesabiwi dhambi, abake, auwe, alawiti, afire, azini, asengenye, na ndiyo maana Waislamu kutukana matusi ya nguoni kwao siyo ajabu, maana yeye yupo huru tu, maana msamaha wa dhambi kupitia homa unafanya kazi, Kwa maana hivyo kwa mtu mwenye akili timamu kama mimi Daima hawezi kuthubutu kuwa muislamu, vinginevyo atakae thubutu, atakuwa tahira wa habari za kumjua Mungu, wewe tangu lini homa ikaleta masamaha wa dhambi? Mungu akupige kwa maradhi kwa sababu tu umeshindwa kwenda sawa sawa na sheria zake, halafu wewe useme eti mapigo hayo ni baraka, Muhammad ni Mtume na nabii wa Uongo.
Sasa nategemea umesha muelewa Muhammad kwa undani. Muhammad alikuwa Mtume wa Uongo.
TAFAKARI
CHUKUA HATUA
MPOKEE YESU
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW