Saturday, July 23, 2016

MUHAMMAD ATHIBITISHA KUWA ALLAH NDIE ALIYE UMBA NA KUWAPA WATU MAGONJWA YOTE



1. Allah akiri kuwa yeye ndie anaye anzisha magonjwa.
2. Allah aliugua Macho.
3. Allah hana uwezo wa kuponya Magonjwa
4. Allah amtupia ugonjwa Mtume wake Muhammad.
Ndugu zanguni,
Leo ningependa tuongelee kuhusu Magonjwa kutokana na Allah na dini ya Uislam. Je, nini hasa ni asili ya Magonjwa?
Kama ulikuwa haufahamu, dini ya Uislam inakiri kuwa Allah ndie asili ya Magonjwa na magonjwa yote yaliumbwa na Allah? Naam, nafahamu unashangaa na kudhania ninawasingizia Waislam, la hasha, hebu ungana nami kwa ushahdi zaidi,
ALLAH NDIE HUWAPA WATU MAGONJWA
Kumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisi na al-Albani
"Usitarajie mazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa, wala kwa nini ni huru. "
Kitu cha kushangaza, hawa Waislam wanakwenda Hospitali kupata matibabu huku wakifahamu kuwa Allah ndie aliye watupia Magonjwa. Huu ni Msiba katikaa Uislam.
JAMANI KWANINI TUMFUATE ALLAH ANAYE TOA MAGONJWA?
ALLAH ALIUGUA MACHO:
"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)
Hapa inaonekana Allah alijisahau na akajitupia Ugonjwa wa Macho, RED EYES. Sasa Mungu gani huyu anaye Umwa kama Viumbe? Hakika Allah si Mungu bali ni kiumbe,
ALLAH HANA UWEZO WA KUPONYA MAGONJWA!!
Kwanini Allah alipo mtuma Jibril kwenda kumuombea Muhammad ugonjwa uliosababishwa kula sumu, maombi yao hayakufanya kazi?
Ibn Sa'd Ukurasa wa 265

Aisha, Mke wa Mtume Muhammad alikuwa akisema, "Wakati Nabii wa Allah alipo kuwa anaumwa, Gibril alikuwa anamwombea kwa Allah kwa kusema haya "Katika Jina la Allah ambalo litakuponya kutoka kila magonjwa na maumivu na kutoka kila wenye ubaya nawe na kila wanakuombea ubaya, utapona..
Cha kushangaza, Allah na Jibril pamoja walishindwa kumponya Muhammad, huu sasa ni Ushahid tosha kuwa Allah hana uwezo wa kuponya bali ndie anaye tupia watu Magonjwa.
MAJIBU YA MUHAMMAD HAYA HAPA
Bukhari's Hadith 5.713:
Imesemwa na 'Aisha:
Mtume Muhammad wakati alipo kuwa anaumwa na kuchukuliwa na kifo alikuwa akisema, O Aisha, bado nasikia maumivu makali sana kutokana na chakula nilicho kula kilicho kuwa na Sumu kule Khaibar, na wakati huu nasikia kama nyongo yangu inakatwa kutokana na ile Sumu niliyo kula.
Hivi Mungu anaweza kuomba na ashindwe? Mbona Allah na Jibril maombi yao ya uponyaji kwa Muhammad hayakufanya kazi?
Hakika Allah si Mungu.
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA. ALLAH NA YEYE AMEFIWA NA MTUME WAKE.
Hebu tusome Biblia na tuone nani anaye toa magonjwa kwa Binadamu:
BIBLIA INASEMA SHETANI NDIE ANATOA MAGONJWA
Ayubu 2: 7 Basi Shetani akatoka mbele za BWANA naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi
wa kichwa.
Katika Kitabu cha Ayubu tunajifunza kuwa Anaye toa magonjwa ni Shetani, maana Ayubu alipigwa na Majipu na Shetani, LAKINI KATIKA UISLAM tunajifunza kuwa anayetoa MAGONJWA NI ALLAH!!! Sasa hii sifa ya Shetani ya kutoa MAGONJWA KWA WATU si ndio ile ile ipo ndani ya Allah? SASA, Je, ipo tofauti gani kati ya Allah na Shetani? Mbona wote wanatoa Magonjwa kwa Binadamu? Kumbe ndio maana Allah alishindwa kumponya Muhammad, kwasababu Allah ndie aliye mpa Ugonjwa Muhammad mpaka kifo.
YESU ALIPONYA WATU MAGONJWA
Matendo ya Mitume 10: 38 Jinsi Mungu alivyomtia Yesu wa Nazareti mafuta katika Roho Mtakatifu na jinsi alivyokwenda huku na huko akitenda mema na kuponya wote waliokuwa wameonewa na nguvu za Shetani, kwa sababu Mungu alikuwa pamoja naye.
Katika Aya hapo juu, tunajifunza kuwa Yesu aliponya Watu walio onewa na Nguvu za Shetani. Kumbe basi, ugonjwa ni kuonewa na Nguvu za Shetani, Kumbe basi Allah anapo kutupia Ugonjwa anakuonea maana hiyo ndio sifa ya Shetani.
Ndugu Msomaji, nafikiri umesha elewa nani ni nani na Magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, CANCER yalianzishwa na Allah wa Uislam.
Nakushauri utafakari kwa makini sana kuhusu huyu Allah anaye kufanya Uumwe huku akijiita yeye ni Mungu.
Hivi Mungu gani huyu anatupia watu Magonjwa kama EBOLA na unataka tumfuate?
Hivi Mungu gani huyu anauwa watu kwa CANCER na unataka tusema yeye ni Mola Wetu?
Hivi Mungu gani huyu anauwa watu kwa TB na Magonjwa mbali mbali na unataka watu wenye hekima wasema yeye ni Mola wetu?
La hasha, sasa tumesha mtambua Allah kuwa yeye si Mungu bali ana sifa zote za Shetani,
Karibu kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu,
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW