Saturday, July 2, 2016

KWANINI MUHAMMAD ALIRUHUSU KUNYWA MIKOJO YA NGAMIA?


Ndugu msomaji,
Huu ni MSIBA mkubwa sana kwa Waislam na Mtume wa Muhammad. Leo, Muhamamd kawa Daktari na kudai kuwa eti, MKOJO WA NGAMIA NI DAWA.
Soma:
Kwa mujibu wa Muhammad, watu waliteswa kwenye makaburi yao kwa sababu ya kujichafua na mkojo [wao wenyewe]. Bukhari juzuu ya1 kitabu cha 4 sura ya57 na.215 uk.141; Bukhari juzuu ya 1 kitabu cha 4 sura ya 57 na.217 uk.142.
Hata hivyo Muhammad aliwaamuru baadhi ya watu kumfuata mchungaji wake na kunywa maziwa na mikojo ya ngamia. Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 71 sura ya 6 na.589, 590 uk.398, 399 na juzuu ya 7 kitabu cha 71 sura ya 29 na.623 uk.418.
Muhammad pia alisema kuwa mkojo wa ngamia ni dawa nzuri. Ibn-i-Majah juzuu ya 5 kitabu cha 31 na.3503 uk.38.
Baadhi ya Waislam waliambiwa kunywa mkojo wa ngamia, waliishia kuwa waasi na kumuua mchungaji. Muhammad aliamuru wakatwe miguu na mikono yao na macho yao yachomwe. Sunan Nasa’i juzuu ya 1 na.308-309 uk.255-256. Tazama pia Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 52 sura ya 152 na.261 uk.162.
Hivi huyu kweli alikuwa Mtume wa Mungu? Mbona hatusomi hata sehemu moja kuwa Muhamamd alitumia neno la Allah kutibu watu?
Mbona Allah anatumia Mikojo kutibu watu, kwani Allah hana uwezo wa kuponya kwa jina lake?
Mbona Muhammad na Allah hawakuponya watu kwa jina la ALLAH?
Kwanini Muhammad alipo kula nyama yenye sumu hakunywa MIKOJO ya Mgamia ili kujitibu?
Kumbe kunywa mikojo ya ngamia ilikuwa ni sehemu ya NDUMBA ya Muhammad.
Kumbe Mikojo ya Ngamia inawafanya watu wawe vichaa.
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Soma kituko kingine cha Muhammad.
Muhammad na Maji Safi
Udhibiti wa afya kwa kuondoa maji machafu na takataka (Sanitation): Watu walipomuliza kuhusu kunywa maji ya kwenye kisima chenye nguo za hedhi, mbwa waliokufa, na vitu vyenye kunuka, Muhammad alisema kuwa maji ni safi kabisa na huwa hayachafuliwi na kitu chochote. Abu Dawud juzuu ya 1 sura ya 35 na.66-67 uk.16-17.
Muhammad alikuwa Nabii wa uongo na sio Mungu.
Waislam nawakaribisha kwa Yesu Mungu Mkuu.
Max Shimba
For Max Shimba Ministries

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW